Bazenga01
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 1,179
- 2,157
Karibu sana Anfield.. Usisahau tulichokufanya darajani, Delle katia msumari sisi tutanyunyiza chumvi kidonda kipone uzuri.Tena wewe unaonyesha ni Liverpool. Ngoja tutakuja apo anfield kuweka mambo sawa