Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

_47713733_kalou2_getty341.jpg



_47714406_kalou3_getty766.jpg



_47714065_lampard_getty766.jpg
 
Wakati mwingine unaandika pumba na upupu! ni busara kusifia pale panapo stahili.....very low from you! Spurs alipomfunga Wigan 9-1 mbona hukuja na huu ujinga? Umeniboa sana sana!

Wana Chelsea msimpe nafasi huyo looser wa fat arse Anal, mechi ikipigwa kama leo Anfield sioni wa kuzuia kikombe!

...aaah, kakaaaaa....usi mind sana mambo ya ushabiki wa mpira kiasi kwamba kila kinachoandikwa unakiweka rohoni. Dah!...
 
Heshima yako mkuu,naona ulikuwa likizo kidogo.Anyway karibu tena.
The critical moment for Chelsea will arrive at Anfield next weekend against a Liverpool side who will still be aiming to finish in fourth place.baada ya ushindi wao mnono jana ( 0-4),and now they are 62 points, wakati City 63 gem moja mkononi, amebakiza gem ngumu na Villa & Spurs, Villa 64, Spurs 64 moja mkononi, amebakiza gem ngumu na City.So Chelsea wasitarajie ushinde kule,any dro Manu U atakuwa anachekelea.Kumbuka
May 2 13:30 UK Liverpool v Chelsea
May 2 16:00 UK Sunderland v Manchester United
Man U atakuwa amisha pata matokeo.Kazi ipo.
 
Giro, Acha ubabaishaji hapa nani kasema M.U atashinda mechi zake zote? uliona walivyocheza na Spurs? (mlishinda kimbinde sio kimpira na hiyo haitajirudia tena) mechi ya Sunderland itakuwa droo kubali isikubali....
Na wewe nani kakwambia Chelsea atashinda mechi zote??.Wigan umewasahau ( 3-1 ) then
May 9 16:00 UK Chelsea v Wigan Athletic (dro) + dro ya pool.Kaa ukisali usiku na mchana jpili na pool ushinde,otherwise Man U bingwa
 
Big up to CARLO ANCELOTTI akifanikiwa katika hili.
CARLO ANCELOTTI will wield the axe at Chelsea this summer - regardless of what silverware they win.Ancelotti has revealed he will bring in FIVE Academy players to the first-team squad next season.
The Stamford Bridge boss also expects to make at least two new signings, meaning a total of SEVEN stars of the current crop will be leaving.
Ancelotti named the five who will get their chance next season as forward
Fabio Borini,
Midfielder Nemanja Matic,
Striker Gael Kakuta plus
Defenders Patrick van Aanholt and
Jeffrey Bruma.
Where,Heading for the Blues exit door are thirty somethings Hilario, Paulo Ferreira, Juliano Belletti and Deco,while Midfielders Joe Cole, 28, and Michael Ballack, 33, have yet to agree new deals and may be forced to find new clubs,and Defender Michael Mancienne, 22, is likely to be allowed to leave and make his loan deal at Wolves permanent.
Chelsea are also keeping tabs on Atletico Madrid striker Sergio Aguero and Bayern Munich midfielder Bastian Schweinsteiger.
 
Na wewe nani kakwambia Chelsea atashinda mechi zote??.Wigan umewasahau ( 3-1 ) then
May 9 16:00 UK Chelsea v Wigan Athletic (dro) + dro ya pool.Kaa ukisali usiku na mchana jpili na pool ushinde,otherwise Man U bingwa

Nawe kaa ukiomba mapepo wekundu vikombe viwili visiende darajani..
 
Huyu jibwabwa Draw Gba ana matatizo sana.


Chelsea FC striker Didier Drogba has been suspended by UEFA's Control and Disciplinary Body for two European club competition matches after being sent off in the UEFA Champions League round of 16 second leg against FC Internazionale Milano in London on 16 March.
The suspension applies to the next two UEFA club competition matches for which Drogba would be eligible
 
Leo Chelsea watafanya kweli au Liverpool ndio wanazipoteza ndoto za ubingwa?
 
Dakika ya 34 Drogba kaipatia Chelsea bao la kwanza;

Liverpool 0 - Chelsea 1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom