Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,536
- 4,532
Giro, Acha ubabaishaji hapa nani kasema M.U atashinda mechi zake zote? uliona walivyocheza na Spurs? (mlishinda kimbinde sio kimpira na hiyo haitajirudia tena) mechi ya Sunderland itakuwa droo kubali isikubali....
Tunawasubiria kwanza mtatue matatizo yenu ya leo, then Liverfools bila shaka tutakuwa tumeshapata cha kusema.