Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Didier-Drogba-Chelsea-Premier-League_2448587.jpg
 
Game over......Liverpool 0 Chelsea 2...Hongereni majirani kwa ushindi...Ubingwa huoooooooooooo unawakarbia...Safi sana
 
Game over......Liverpool 0 Chelsea 2...Hongereni majirani kwa ushindi...Ubingwa huoooooooooooo unawakarbia...Safi sana
 
"Mtasema mtagombana bure hee, mambo ya ubingwa msituiingilie, tumeshinda mmebaki na aibu, bakwetu kama mbele!"
 
mnh,
mbona hatutokunywa maji mwaka huu.
 
Mimi kwa Chelsea kuwa champs nitakunywa maji...ila wale wengine wanaocheza sasa mhhhhhhhhhhhhh

ha ha, sawa kamanda. Shida yangu na hawa Chelski kelele mingi sana kuliko Manure ubingwa waliouzoea.

Haya, ngoja nibadilishe Channel sasa niwaangalie Manure uwanjani...
 
Dah Mkuu Invisible hongera sana..........huu ubingwa ni wako mwaka huu.......dah si mchezo
 
na-imagine gemu ya mwisho la Chelsea litakavyokuwa............utaona jinsi watu watakavyojituma.......hata ikibidi kuvunja mguu.....duuuh.........hongereni Chelsea
 
liverpool wanakunywa tu maji ya darajani na sasa wako hoi hahaa ubingwa huoo, safari hii ni cup doubles
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom