Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ustaadh Anelka amekwisha kabisa..Yaani anashindwa kueka kimiani the sitter ya Kalou..?
 
Liverpool 0 Chelsea 2....Lampard...Nilikwambia Invisible...Mnashinda
 
Half time Liverpool 0 Chelsea 1

liverpool washauza game hao .gerrard na uhodari wake wote unatoa back pass mbovu kama ile .kwakweli hawawanaona bora wamaliza ligi nafasi ya kumi kuliko kuona manu united wanakuwa mabingwa .oh my god goli lapili hilo .
 
geraard si alikuwa anajidai kuwa watashinda, sasa matokeo nidyo hayo. i love my boyz in blu kwana hawana mashauzi. mambo yako ni kimya kimya tu am so happy today.
 
Aquilani is a BIIIIG Let down kwa kweli..pauni mil 20 imepotea vivihivi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom