Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sikufanikiwa kuangalia game yetu dhidi ya Sunderland ila ndiyo nimemaliza kuiangalia sasa hivi.

Mtazamo wangu;

- Costa has been such a revelation msimu huh. Game nzima nimemuona akijituma sana. Always looking for passes and assisting others bahati tu kipa wao leo amejitahidi sana. But kudos to him aisle.

- Willian, Pedro n Moses wanahitaji kufanya shooting practice aisee. Maana, kabla ya kuangalia mechi hii kwa kuangalia matokeo tu unaweza ukadhani tulielemewa sana kumbe ni watu wachache kule mbele walikuwa na goal chances wakapiga mipira ambayo hata mimi siwezi kucheza hivyo aisee...such a shame.

- Kudos to Courtouis kea another clean sheet. Kuna stoppage mmbili alizifanya; moja ya dk. 47 na lie ya dakika za nyongeza anastahili sifa kwa kweli.

- Natamani kusema we missed creativity ya Hazard ambayo si kwamba haikuwepo ila naamini Hazard angekuwepo zile chances alizokosa Willian Hazard asingekosa aisee...so open chances!

Anyway, on for Saturday/Sunday? bado tuko vizuri dana tofauti na nilivyodhani kabla ya mechi. Kati, nyuma na striker wetu Costa. Nadhani kocha atalipa uzito suala la shooting aisee...wanashoot kama wamefungwa macho, hakuna creativity esp Willian na Moses wamenisikitisha.

With the performance najua hatuwezi kushindwa (lose) games ila tunahitaji shots on target na smart shots za Hazard na Costa...

On we go [HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]...on top of the league.

Bring them Crystal palace...
Maneno kuntu mentor.....Chelsea till we die
 
Kwa mashabiki wote wa soka tumekutana hapa JF tukibadilishana habari mbalimbali tunapongezana na kutaniana kuhusu timu tunazoshabikia ,now mmoja ya waasisi wa kijiwe chetu ambacho tunakutana hapa anashikiliwa na polisi.Tujitokeze kupaza sauti zetu kulaani huu unyanyasaji anaofanyiwa tusikae kimya kwenye hili tuendelee kupaza sauti kwenye mitandao yote ya kijamii(Facebook,Twitter,Instagram nk ) kulaani unyanyasaji huu.Tutumie hashtag [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]

Maxence Melo ni mshabiki wa Chelsea siku hizi mambo yamekuwa mengi ndio maana haonekani hapa jukwaani,miaka ya nyuma alikuwa mdau wa kutupwa wa hili jukwaa
 
Asante sn mkuu.

[HASHTAG]#FreeMaxenceMeli[/HASHTAG].

[HASHTAG]#BringBackOurBenAlive[/HASHTAG].
 
Jason Statham
tempFile_2016-12-13-16-05-49.jpg
tempFile_2016-12-13-16-05-49.jpg
 
M naona gemu ilikua nzur kwetu na tuli posess mpra tatzo wafungaji wanakua na papara ya kufunga na beki tatu daaa k ukwel akiktana na winga mzur tunawez kfngwa gem mana beki zetu has cahill kujifunga kwa cross hajambo
 
Baada ya game bodi ya ufundi ya team hufanyia upembuzi yakinifu Na kupitia kila kitu Na kuja Na ufumbuzi. Yote kila baada ya game wanayaaona Na watakuja Na ufumbuzi.

Kikubwa ni kwamba ktk siku 18 kutoka Leo tunatakiwa kucheza michezo miinne Na tumalize ratiba ngumu ya December. Na ktk game zilizobaki ktk hii December ni tatu mtelemko then tarehe 3 Jan ndo tunaanza kupanda Na ratiba ngumu Na Spurs.
Tusitegemee game laini kipindi hiki mkuu,ila cha muhimu tunahitaji umakini ndo maana conte kasema game ilikosa the killer game jana,papara na kukosa umakini ndo kumetufanya tukose goli zaidi ya 3
 
M naona gemu ilikua nzur kwetu na tuli posess mpra tatzo wafungaji wanakua na papara ya kufunga na beki tatu daaa k ukwel akiktana na winga mzur tunawez kfngwa gem mana beki zetu has cahill kujifunga kwa cross hajambo
Winga zipi zaidi ya zile za spurs,man city na man utd mkuu? ttzo letu ni moja tu tulikosa creater mzuri kama hazard ila conte kaliona hilo na wasaidizi wake
 
Nadhani amemaanisha wing yetu hasa ya Alonso...!
 
Katika pitapita zangu mtandaoni niliona habari kuhusu how to stop 3-4-3 chelsea formation walichokisema ni kuwa

1.unashambulia zaidi kupitia upande wa alonso ndo yuko weak mfano gemu ya man city

2.unaweka mshambuliaji mwenye akili upande wa moses maana huyu sio beki asilia kwa hiyo muda mwingi anakuwa out of position mfano gem ya spurs aliwekwa son na baada yule dogo n'kodou

3.unajaza viungo katikati na kukaba kwa nguvu kila chelsea ikiwa na mpira mfano mechi ya spurs,man city, na westbrom yaani unahakikisha chelsea haiflow

4.unafanya marking ya nguvu kuzuia washambuliaji wote wa3 mfano sunderland

5.unawatawanya mabeki wa3 hivyo wanajikuta hawana utulivu wa kutosha na kujikuta wanahangaika kukaba hasa mashambulizi ya kushtukiza mfano mechi zote kuanzia ya spurs

Kufanya yote haya inawezekana, swali linakuja utaweza kutimiza hayo yote kwa dakika zote 90??? Aliyejitahidi kidogo ni westbrom ndo maana conte aliswitch formation mara 2 ili kupata matokeo kwahiyo kumbe kuizuia chelsea sio mchezo mchezo hata kama mbinu unazijua!!!

Ila puchettino mungu anamuona maana yeye ndo alianika hadharani udhaifu wote wa chelsea haijalishi alishinda au hakushinda na conte akienda na 3-4-3 pale white lane ataona atakachofanywa amuulize morinho
 
Poccetino huyu tuliyemfunga 2 au mwingine?

Hapana mkuu. shida ya kufanya mazoezi kumkaba Chelsea ni 1...kuwa, pamoja na formation lakini kuna uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ambao huwezi kuwafundisha wachezaji wako jinsi ya kukaba.

Pili, unless unatafuta draw then utakaa ukiwafundisha wachezaji wako jinsi ya kuikaba Chelsea pekee bila kushambulia.

Tatu jinsi unavyowafundisha wachezaji wako ni the same thing Conte anawafundisha wachezaji wake juu yako...so game ni tit-4-tat

Sidhani kea quality tuliyonayo ya wachezaji eti hata wakikesha kujifunza jinsi ya kuwadhibiti tutashindwa kuondoka na ushindi. All in all, hata wakifanikiwa 100% basi jua tutatoka 0 - 0.
 
Mimi ni mwanachelsea mzuri lakini chelsea hatuna vitu vingi mnoo kiasi cha kunifanya nione timu zote epl ni vibonde wa chelsea, tulivyo miss ni hivi

1.hatuna wapiga freekick wazuri wakutosha maana kwa timu kama yetu haiwezekani kufika nusu ya msimu hakuna goli la freekick hata moja so disappointed enzi hizo timu ina drogba,balack,lampard na wengineo ilikuwa ni kosa kumfanyia foul mchezaji wa chelsea karibu na box maana ni lazima uadhibiwe

2.long range shoot goals from midfield yaani sikuhizi tumekuwa wazee wa soft goals kama arsenal88 maana hakuna mtu anaepiga vitu hatari unakuta msimu tuna magoli kama 10-15 tuu kati 100 ambayo ni ya nje ya box hapo tumechemka

3.accurate crosses, hivi inakuaje tunafika december hatujafunga goli la header??? Wakati tunafoward mrefu kuliko hata drogba?? Mechi ya west bro ilipigwa cross hatari moja tuu meche zingine hata sikumbuki, hapo napo tumechemka

4.chelsea hatuwezi kulazimisha mtokeo ya mechi kitimu na badala yake tunategemea mtu mmoja mambo yakishindikana kitu ambacho hakikuwepo kabisa chelsea, kumbuka kipindi tunamtoa napoli kila mtu alichachamaa hadi tukashinda lakini leo wapi, westbrom anakuja anakaza lakini timu inaponea ushindi mwembamba come on chelsea
 
Basi kwa taarifa yako Chelsea ikiwa away ndio inakua hatari Zaidi kuliko ikiwa home.

Tarehe 3 Jan Poccetinho Ata afundishe vipi hato weza kudrag mpira ndani ya lago LA Chelsea. Spurs wakiwa Na presha sn kutushambulia sn Basi hapo nyuma kuna funga hivi 5-4-1. Kwa safu hii ya ulinzi watapita wapi? Tena Conte atawambia hao kina Alonso Na Moses wasipande mbele hovyo mpk mchezo uanze kufunguka wenyewe..... Ni hatari mkuu...... Wakiweka marking kwa baadhi ya wachezaji Na wakiwa wanawachezea rafu wachezaji wetu hapo ndio wataweza kuchelewesha tusiwafunge lkn kufungwa hiyo ni lazima tu.....

Poccetino huyu tuliyemfunga 2 au mwingine?

Hapana mkuu. shida ya kufanya mazoezi kumkaba Chelsea ni 1...kuwa, pamoja na formation lakini kuna uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ambao huwezi kuwafundisha wachezaji wako jinsi ya kukaba.

Pili, unless unatafuta draw then utakaa ukiwafundisha wachezaji wako jinsi ya kuikaba Chelsea pekee bila kushambulia.

Tatu jinsi unavyowafundisha wachezaji wako ni the same thing Conte anawafundisha wachezaji wake juu yako...so game ni tit-4-tat

Sidhani kea quality tuliyonayo ya wachezaji eti hata wakikesha kujifunza jinsi ya kuwadhibiti tutashindwa kuondoka na ushindi. All in all, hata wakifanikiwa 100% basi jua tutatoka 0 - 0.

Mentor umenifurahisha sn mkuu......

Niliwahi kusema huko nyuma kwa huu mfumo sare ni kitu cha kwanza kupata then ushindi ndio unafata.
 
Msiwe na wasiwasi, ubingwa nu wetu. Arsenal , Man City tutawapa kichapo, hata ManU.. na kina Spur, Liverpool nategemea draw...Leicester, Everton nao watakuwa mteremko...

Wote msioamini Chelsea kuwa bingwa, Mungu anawaona
 
hili kombe tushindwe wenyewe tu. Ukiangalia ratiba yetu iliyobaki ukifananisha na ratiba iliyopita siye tuna mteremko wa kitonga tushindwe wenyewe.
Wapinzani wetu wote ratiba zao ngumu tukizichanga vizuri kalata zetu ubingwa unaweza kuwa wetu kabla round ya pili haijaanza.
Ili kuwa katika nafasi nzuri zaidi inabidi Chelsea washinde mechi zote za mwezi Disemba!
Bravo Chelsea, bravo Conte & technical team, bravo wachezaji wote wa ze bluz! You make us happy at this moment, always do that please!
 
Katika pitapita zangu mtandaoni niliona habari kuhusu how to stop 3-4-3 chelsea formation walichokisema ni kuwa

1.unashambulia zaidi kupitia upande wa alonso ndo yuko weak mfano gemu ya man city

2.unaweka mshambuliaji mwenye akili upande wa moses maana huyu sio beki asilia kwa hiyo muda mwingi anakuwa out of position mfano gem ya spurs aliwekwa son na baada yule dogo n'kodou

3.unajaza viungo katikati na kukaba kwa nguvu kila chelsea ikiwa na mpira mfano mechi ya spurs,man city, na westbrom yaani unahakikisha chelsea haiflow

4.unafanya marking ya nguvu kuzuia washambuliaji wote wa3 mfano sunderland

5.unawatawanya mabeki wa3 hivyo wanajikuta hawana utulivu wa kutosha na kujikuta wanahangaika kukaba hasa mashambulizi ya kushtukiza mfano mechi zote kuanzia ya spurs

Kufanya yote haya inawezekana, swali linakuja utaweza kutimiza hayo yote kwa dakika zote 90??? Aliyejitahidi kidogo ni westbrom ndo maana conte aliswitch formation mara 2 ili kupata matokeo kwahiyo kumbe kuizuia chelsea sio mchezo mchezo hata kama mbinu unazijua!!!

Ila puchettino mungu anamuona maana yeye ndo alianika hadharani udhaifu wote wa chelsea haijalishi alishinda au hakushinda na conte akienda na 3-4-3 pale white lane ataona atakachofanywa amuulize morinho
juzijuzi tu hapa mourinho alimfunga huyo toten goli moja au huyo pochettino akiwa nyumbani ndipo hiyo formation inakuwa successful kuliko ugenini
 
Mimi ni mwanachelsea mzuri lakini chelsea hatuna vitu vingi mnoo kiasi cha kunifanya nione timu zote epl ni vibonde wa chelsea, tulivyo miss ni hivi

1.hatuna wapiga freekick wazuri wakutosha maana kwa timu kama yetu haiwezekani kufika nusu ya msimu hakuna goli la freekick hata moja so disappointed enzi hizo timu ina drogba,balack,lampard na wengineo ilikuwa ni kosa kumfanyia foul mchezaji wa chelsea karibu na box maana ni lazima uadhibiwe

2.long range shoot goals from midfield yaani sikuhizi tumekuwa wazee wa soft goals kama arsenal88 maana hakuna mtu anaepiga vitu hatari unakuta msimu tuna magoli kama 10-15 tuu kati 100 ambayo ni ya nje ya box hapo tumechemka

3.accurate crosses, hivi inakuaje tunafika december hatujafunga goli la header??? Wakati tunafoward mrefu kuliko hata drogba?? Mechi ya west bro ilipigwa cross hatari moja tuu meche zingine hata sikumbuki, hapo napo tumechemka

4.chelsea hatuwezi kulazimisha mtokeo ya mechi kitimu na badala yake tunategemea mtu mmoja mambo yakishindikana kitu ambacho hakikuwepo kabisa chelsea, kumbuka kipindi tunamtoa napoli kila mtu alichachamaa hadi tukashinda lakini leo wapi, westbrom anakuja anakaza lakini timu inaponea ushindi mwembamba come on chelsea
yaani mkuu ulichoongea very right na toka hao waondoke timu inasuffer sana. Kizuri zaidi hata wapinzani wetu wanamatatizo kama yetu ndo maana tupo pale juu ila tukienda kimataifa tunapata shida sana tofauti na zamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom