Sikufanikiwa kuangalia game yetu dhidi ya Sunderland ila ndiyo nimemaliza kuiangalia sasa hivi.
Mtazamo wangu;
- Costa has been such a revelation msimu huh. Game nzima nimemuona akijituma sana. Always looking for passes and assisting others bahati tu kipa wao leo amejitahidi sana. But kudos to him aisle.
- Willian, Pedro n Moses wanahitaji kufanya shooting practice aisee. Maana, kabla ya kuangalia mechi hii kwa kuangalia matokeo tu unaweza ukadhani tulielemewa sana kumbe ni watu wachache kule mbele walikuwa na goal chances wakapiga mipira ambayo hata mimi siwezi kucheza hivyo aisee...such a shame.
- Kudos to Courtouis kea another clean sheet. Kuna stoppage mmbili alizifanya; moja ya dk. 47 na lie ya dakika za nyongeza anastahili sifa kwa kweli.
- Natamani kusema we missed creativity ya Hazard ambayo si kwamba haikuwepo ila naamini Hazard angekuwepo zile chances alizokosa Willian Hazard asingekosa aisee...so open chances!
Anyway, on for Saturday/Sunday? bado tuko vizuri dana tofauti na nilivyodhani kabla ya mechi. Kati, nyuma na striker wetu Costa. Nadhani kocha atalipa uzito suala la shooting aisee...wanashoot kama wamefungwa macho, hakuna creativity esp Willian na Moses wamenisikitisha.
With the performance najua hatuwezi kushindwa (lose) games ila tunahitaji shots on target na smart shots za Hazard na Costa...
On we go [HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]...on top of the league.
Bring them Crystal palace...