Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

January tuna ratiba ngumu kweli.

Yani ndani ya January tunakutana Na Spurs, Gunners, Leicester city na LFC. Na bado kutakua na vi upuru upuru vya vi timu vingine km viwili hivi.

Yani hii December tukomae kweli kushinda hivi vimichezo vitatu vilivyobaki then Jan tununue wachezaji km wawili hivi alafu tuendelee Na kuwakimbiza

na kukubali sana ntuzu uchambuzi wako, unafikiri kwa maoni yako ni maeneo gani inabidi kuongeza nguvu kwa kununua wachezaji ? na unapendekeza wachezaji gani kaka
 
Sikufanikiwa kuangalia game yetu dhidi ya Sunderland ila ndiyo nimemaliza kuiangalia sasa hivi.

Mtazamo wangu;

- Costa has been such a revelation msimu huh. Game nzima nimemuona akijituma sana. Always looking for passes and assisting others bahati tu kipa wao leo amejitahidi sana. But kudos to him aisle.

- Willian, Pedro n Moses wanahitaji kufanya shooting practice aisee. Maana, kabla ya kuangalia mechi hii kwa kuangalia matokeo tu unaweza ukadhani tulielemewa sana kumbe ni watu wachache kule mbele walikuwa na goal chances wakapiga mipira ambayo hata mimi siwezi kucheza hivyo aisee...such a shame.

- Kudos to Courtouis kea another clean sheet. Kuna stoppage mmbili alizifanya; moja ya dk. 47 na lie ya dakika za nyongeza anastahili sifa kwa kweli.

- Natamani kusema we missed creativity ya Hazard ambayo si kwamba haikuwepo ila naamini Hazard angekuwepo zile chances alizokosa Willian Hazard asingekosa aisee...so open chances!

Anyway, on for Saturday/Sunday? bado tuko vizuri dana tofauti na nilivyodhani kabla ya mechi. Kati, nyuma na striker wetu Costa. Nadhani kocha atalipa uzito suala la shooting aisee...wanashoot kama wamefungwa macho, hakuna creativity esp Willian na Moses wamenisikitisha.

With the performance najua hatuwezi kushindwa (lose) games ila tunahitaji shots on target na smart shots za Hazard na Costa...

On we go [HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]...on top of the league.

Bring them Crystal palace...
Mentor nashukuru umeliona hilo. Willy na Moses jana sijui walikuaje yaani mtu unapata chance hutumii ipasavyo. Pedro nae jana alipotea sana. Alonso alipata chance nyingi lakini alishindwa kutumia nafasi yake. Amenibore sana kross zake hazina tija kabisa. Kwakweli creativity ilikosekana pale mbele. But si mbaya ngoja tujipange next match.
 
na kukubali sana ntuzu uchambuzi wako, unafikiri kwa maoni yako ni maeneo gani inabidi kuongeza nguvu kwa kununua wachezaji ? na unapendekeza wachezaji gani kaka
Asante sn mkuu.

Tunatakiwa kupata MTU Wa kukimbiza jamii ya kina Hazard, Willian, Pedro Na Moses mmoja Na pia bado mustakabali Wa Faby haujajulikana lkn naona anafanya vzr sn siku hizi so ningependa abaki. Kwahiyo tu natakiwa kupata kiungo mmoja Wa kati Na mmoja Wa kudrve. Ktk safu ya ulinzi tuko vzr sn na tuna mabeki wengi tu.
 
mkuu sina na tatizo na mtazamo wako lakini kwa mtazamo wangu hao wachezaji uliowasema hata ungewapa practice ya kushoot sidhani kama wanaweza kuwa na consistence yoyote,ufungaji nao ni kipawa ili ufunge goli unahitaji ufundi ambapo hao wachezaji uliosema hawana labda abaki yeye na golikipa. Ndiyo maana napendekeza tupate mchezaji pale mbele goal scorer sio hao wakina willian.
Chukulia mfano pale barca inakuwaje kila mechi wana uhakika wakushinda goli si chini ya 3 sababu ni moja tu MSN wote ni type ya wafungaji hatari ambao hawahitaji training ya kushoot.
Swala la kujiuliza ni mchezaji gani yupo available mwenye kaliba niliyoitaja hapo ndipo management ya chese inatakiwa iumize kichwa tukipata mchezaji type ya kina Mane, griezman, nk tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kushinda ligi
Lkn kuna kitu nataka kusema. Ukiangalia hiyo MSN unayoingelea iko ktk ligi rahisi sn.... Ktk ligi ngumu km ya EPL hiyo MSN haiwezi kufurukuta kwasababu unaweza kuona Ata namna Guardiola anavyo struggle ktk timu Yake ya City na mfumo ambao amekua akitaka kuuweka.

Kinachotokea sasaivi timu pinzani zinasoma mchezo mzima wote Wa Chelsea na mbinu wanazotumia Na kuanza kudhibiti move zote zinakoanzia. Kwa mfano wamegundua Pedro Na Hazard ndio chanzo cha move zote Na magoli so timu pinzani zinapokutana Na sisi zinafanya marking ya kutosha kwa hao watu then Costa inakua rahisi kumdhibiti.

Tunapokua Na hali km hiyo timu sasa inatakiwa iendeshwe kupitia watu km Matic, Faby Na Na Kante Na Alonso Na Moses tena ikiwezekana waweze kudrible mipira kuelekea kwa adui hiyo itawafanya maadui kuwacha kina Hazard Na kuja kuwakaba hawa Na hapo ndio tutakua tumetengeneza nafasi za kuweza kushinda.

Kwa kifupi tunatakiwa kubadilika kiuchezaji kila tunapokutana Na timu pinzani. Adui akiwa anabana sn dimba Basi wanatakiwa kulazimisha kupita hapo hapo kitu ambacho kinaweza kuwasababishia kadi au penati. Kwa hiyo Chelsea inatakiwa kuongeza nguvu sn ktk kila kitu.
 
mkuu sina na tatizo na mtazamo wako lakini kwa mtazamo wangu hao wachezaji uliowasema hata ungewapa practice ya kushoot sidhani kama wanaweza kuwa na consistence yoyote,ufungaji nao ni kipawa ili ufunge goli unahitaji ufundi ambapo hao wachezaji uliosema hawana labda abaki yeye na golikipa. Ndiyo maana napendekeza tupate mchezaji pale mbele goal scorer sio hao wakina willian.
Chukulia mfano pale barca inakuwaje kila mechi wana uhakika wakushinda goli si chini ya 3 sababu ni moja tu MSN wote ni type ya wafungaji hatari ambao hawahitaji training ya kushoot.
Swala la kujiuliza ni mchezaji gani yupo available mwenye kaliba niliyoitaja hapo ndipo management ya chese inatakiwa iumize kichwa tukipata mchezaji type ya kina Mane, griezman, nk tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kushinda ligi

Yes, creative attacking midfielders. Hapa naomba nimtaje Oscar. This kid is good maana ana akili ya mpira. Tatizo la Oscar ni kwamba kucheza na Oscar na Hazard in the team ni risky maana wote wanapendeza sana wakiwa free role players.

Kama tunamuuza Oscar basi hiyo pesa waongeze tumlete Griezmann ama yule dogo Mbelgiji Carsasco maana wote hawa wana sifa ya ziada ya ufungaji lakini ni wing men wazuri sana..speed na akili ya mpira.

Kwa hali hiyo tutakuwa na attacking mid ya Hazard, Pedro, Griez/Carasco, na Willian. Starting hapo ni Hazard na Griez/Carasco na hao wawili wanaobaki ni back up players ambao kwa kiasi wana-impact wanapokuwa uwanjani.

Pale kwa Alonso bado sijawajua sana wachezaji wengi ila nitaanza research nione nani zaidi huko duniani ila kwa wachezaji tulionao, Kennedy fits that category so perfect. Anafundishwa tu discipline ya kukaba na kutokupanda sana...kaboom we have our own left back.

Kati palo perfect with Matic, Kante, Chalobah, RLC, na Fabregas. Hofu ni Kante akiumia au akipewa kadi...sijui maana natamani Mikel auzwe hata kesho.

Defence iko perfect kea sasa; Azpi, Cahill, Luiz, Aina na Zouma. Huyu Aina na madogo wenzake (Kennedy, Ruben, Chalobah) bado wanauhitaji wa defensive discipline (ukiangalia Chalobah leo kwenye zile dakika za nyongeza ambapo Thibaut alipangua, dogo alikuwa anajiandaa kukimbia mbele akidhani mashambulizi yameisha).
 
Idara ya mbele kuanzia namba 8 91011 imekosa utulivu ili kutufungia mabao mengi
Nafikiri conte anatakiwa alione hili wana papara sana ndio maana wanakosa mabao mengi conte alitazame hili kwa kuwa kama hawa watu watatulizana huku mbele na kutufungia mabao mengi ni vigumu kwa team pinzani kusogelea mabeki wetu wa 3 pale nyuma
La sivyo goli moja halitoshi hata kama team zinajilinda sana lakini kuna chance nyingi sana zinapatikana halafu wanashindwa kuzitumia ipasavyo kinachotakiwa ni utulivu kwa wale watatu pale mbele na hizi wingback moses na alonso
 
Chelsea tunahitaji striker wa kati mwingine katika dirisha la usajili pia tunahitaji beki wa kati mmoja na kiungo wa kati mmoja ndani ya dirisha hili la usajili linalokuja
Beki wa kati
Kuungo wa kati
Na mshambuliaji 1matata maana diego costa anakosa msaidizi mzuri
 
Ktk upande Wa mastriker mi nafikiri kwa hawa tulionao wanatosha sema sasa Conte anatakiwa aanze kumpa nafasi huyu Batshuayi ili apate uzoefu mkubwa. Lkn ktk kitu ninacho kijua km siku inatokea Costa hayupo Na Batshuayi akapewa majukumu yote siku hiyo Basi utakuja kushangaa anacheza vzr sn... Mimi bado naona tunatakiwa kuingeza wachezaji ktk baadhi ya sehemu lkn ktk ustriker huko sizani.
 
Yes, creative attacking midfielders. Hapa naomba nimtaje Oscar. This kid is good maana ana akili ya mpira. Tatizo la Oscar ni kwamba kucheza na Oscar na Hazard in the team ni risky maana wote wanapendeza sana wakiwa free role players.

Kama tunamuuza Oscar basi hiyo pesa waongeze tumlete Griezmann ama yule dogo Mbelgiji Carsasco maana wote hawa wana sifa ya ziada ya ufungaji lakini ni wing men wazuri sana..speed na akili ya mpira.

Kwa hali hiyo tutakuwa na attacking mid ya Hazard, Pedro, Griez/Carasco, na Willian. Starting hapo ni Hazard na Griez/Carasco na hao wawili wanaobaki ni back up players ambao kwa kiasi wana-impact wanapokuwa uwanjani.

Pale kwa Alonso bado sijawajua sana wachezaji wengi ila nitaanza research nione nani zaidi huko duniani ila kwa wachezaji tulionao, Kennedy fits that category so perfect. Anafundishwa tu discipline ya kukaba na kutokupanda sana...kaboom we have our own left back.

Kati palo perfect with Matic, Kante, Chalobah, RLC, na Fabregas. Hofu ni Kante akiumia au akipewa kadi...sijui maana natamani Mikel auzwe hata kesho.

Defence iko perfect kea sasa; Azpi, Cahill, Luiz, Aina na Zouma. Huyu Aina na madogo wenzake (Kennedy, Ruben, Chalobah) bado wanauhitaji wa defensive discipline (ukiangalia Chalobah leo kwenye zile dakika za nyongeza ambapo Thibaut alipangua, dogo alikuwa anajiandaa kukimbia mbele akidhani mashambulizi yameisha).
Mkuu huduma ya Obi ni nzuri sn hasa kwa huu mfumo Wa 3-4-3 Na yeye akabi km DM tu. Anaweza kucheza vzr tu na kufanya ngome yetu kua imara sn...

Huko kwingine umechambua vzr sn.
 
Chelsea tunahitaji striker wa kati mwingine katika dirisha la usajili pia tunahitaji beki wa kati mmoja na kiungo wa kati mmoja ndani ya dirisha hili la usajili linalokuja
Beki wa kati
Kuungo wa kati
Na mshambuliaji 1matata maana diego costa anakosa msaidizi mzuri
Sasa hapa mbona unasajili backbone mpya tena!

Ni nini hao waliopo benchi na uwanjani wanakikosa bro?
 
Idara ya mbele kuanzia namba 8 91011 imekosa utulivu ili kutufungia mabao mengi
Nafikiri conte anatakiwa alione hili wana papara sana ndio maana wanakosa mabao mengi conte alitazame hili kwa kuwa kama hawa watu watatulizana huku mbele na kutufungia mabao mengi ni vigumu kwa team pinzani kusogelea mabeki wetu wa 3 pale nyuma
La sivyo goli moja halitoshi hata kama team zinajilinda sana lakini kuna chance nyingi sana zinapatikana halafu wanashindwa kuzitumia ipasavyo kinachotakiwa ni utulivu kwa wale watatu pale mbele na hizi wingback moses na alonso
Baada ya game bodi ya ufundi ya team hufanyia upembuzi yakinifu Na kupitia kila kitu Na kuja Na ufumbuzi. Yote kila baada ya game wanayaaona Na watakuja Na ufumbuzi.

Kikubwa ni kwamba ktk siku 18 kutoka Leo tunatakiwa kucheza michezo miinne Na tumalize ratiba ngumu ya December. Na ktk game zilizobaki ktk hii December ni tatu mtelemko then tarehe 3 Jan ndo tunaanza kupanda Na ratiba ngumu Na Spurs.
 
Mikel is too slow bro...too slow! He is loyal lakini speed ni disadvantage yake kubwa!
Ndio maana anatakiwa awe DM tu na pacha wake awe huru kukimbia huko Na huko lkn yeye abaki km DM tu na akifanya hivyo atafanya vzr....
 
Unamuona Kante? Ningumu sana kwa mchezo wa siku hizi kuwa strictly DM. Lazima uwe na percentage kidogo ya attack mindedness....aisee bado sijashawishika
 
Mshukuru hiyo mechi na boro ombeni mbadilishe mcheze na arsenal muone cha mtema kuni Safari hii ungepata 5 na mngejuta kuijua gunners,!
 
Gunners miaka yote mmekuwa kapu letu... Chelsea chini ya Drogba mechi 23 na mabao 23 wastani kila mechi anawatandika.. kushinda juzi imekuwa nongwa

Dah maskini akipata kila mtu mtaani anajua
 
Unamuona Kante? Ningumu sana kwa mchezo wa siku hizi kuwa strictly DM. Lazima uwe na percentage kidogo ya attack mindedness....aisee bado sijashawishika
Ni kweli ukisemacho lkn yote haya pia hutegemea Na jinsi adui alivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom