Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndio maana anatakiwa awe DM tu na pacha wake awe huru kukimbia huko Na huko lkn yeye abaki km DM tu na akifanya hivyo atafanya vzr....
Mkuu huyo mikel obi ni mzito kama mjamzito, natamani wampige bei hata jana, kama vipi akacheze china tu, au kwa wazee waliokata ringi marekani.
Ndio maana anatakiwa awe DM tu na pacha wake awe huru kukimbia huko Na huko lkn yeye abaki km DM tu na akifanya hivyo atafanya vzr....
 
Mimi ni mwanachelsea mzuri lakini chelsea hatuna vitu vingi mnoo kiasi cha kunifanya nione timu zote epl ni vibonde wa chelsea, tulivyo miss ni hivi

1.hatuna wapiga freekick wazuri wakutosha maana kwa timu kama yetu haiwezekani kufika nusu ya msimu hakuna goli la freekick hata moja so disappointed enzi hizo timu ina drogba,balack,lampard na wengineo ilikuwa ni kosa kumfanyia foul mchezaji wa chelsea karibu na box maana ni lazima uadhibiwe

2.long range shoot goals from midfield yaani sikuhizi tumekuwa wazee wa soft goals kama arsenal88 maana hakuna mtu anaepiga vitu hatari unakuta msimu tuna magoli kama 10-15 tuu kati 100 ambayo ni ya nje ya box hapo tumechemka

3.accurate crosses, hivi inakuaje tunafika december hatujafunga goli la header??? Wakati tunafoward mrefu kuliko hata drogba?? Mechi ya west bro ilipigwa cross hatari moja tuu meche zingine hata sikumbuki, hapo napo tumechemka

4.chelsea hatuwezi kulazimisha mtokeo ya mechi kitimu na badala yake tunategemea mtu mmoja mambo yakishindikana kitu ambacho hakikuwepo kabisa chelsea, kumbuka kipindi tunamtoa napoli kila mtu alichachamaa hadi tukashinda lakini leo wapi, westbrom anakuja anakaza lakini timu inaponea ushindi mwembamba come on chelsea
WILLIAN AND DAVID LUIZ ni wapigaji wazuri wa free kick, hilo toa shaka mkuu.
 
Cesc Fabregas could be next Chelsea player to head for China as Guangzhou Evergrande eye £40m summer move
 
b04244d22498813bf97d67516f90ee2c.jpg

Viva Chelsea forever
 
*```2016/17 Premier League Players Stats
GOALS

1. Diego Costa 12
2.Alexis Sánchez 12
3.Sergio Agüero 10
4.Zlatan Ibrahimovic 9
5.Romelu Lukaku 9
6.Christian Benteke 8
7.Jermain Defoe 8
8.Eden Hazard 8
9.Michail Antonio 7
10.Harry Kane 7

ASSISTS
1Kevin De Bruyne 8
2.Adam Lallana 6
3.Nemanja Matic 6
4.Wilfried Zaha 6
5.Philippe Coutinho 5
6.Diego Costa 5
7.Dimitri Payet 5
8.Matt Phillips 5
9.Pedro 5
10.Alexis Sánchez 5

PASSES
1Jordan Henderson 1,437
2.N'Golo Kanté 1,057
3.Paul Pogba 1,054
4.César Azpilicueta 1,012
5.Fernandinho 1,002
6.Jan Vertonghen 940
7.Aleksandar Kolarov 937
8.Oriol Romeu 910
9.Victor Wanyama 907
10.Dejan Lovren 905

SAVES
1Tom Heaton 70
2.Jordan Pickford 63
3.Lukasz Fabianski 51
4.Ben Foster 51
5.Petr Cech 43
6.Artur Boruc 42
7.Heurelho Gomes 41
8.David Marshall 40
9.Adrián 37
10.David de Gea 36```*

*```2016/17 Premier League Club Stats
GOALS
1.Liverpool
Anfield 40
2.Arsenal
Emirates Stadium 37
3.Chelsea
Stamford Bridge 34
4.Man City
Etihad Stadium 34
5.Crystal Palace
Selhurst Park 28
6.Spurs
White Hart Lane 27
7.West Brom
The Hawthorns 23
8.Bournemouth
Vitality Stadium 22
9.Man Utd
Old Trafford 22
10.Everton
Goodison Park 21```*

*```PASSES
1.Liverpool
Anfield 9,830
2.Man City
Etihad Stadium 9,281
3.Arsenal
Emirates Stadium 8,993
4.Chelsea
Stamford Bridge 8,522
5.Man Utd
Old Trafford 8,359
6.Spurs
White Hart Lane 8,252
7.Southampton
St. Mary's Stadium 7,936
8.Everton
Goodison Park 7,041
9.Hull
KCOM Stadium 6,924
10.Middlesbrough
Riverside Stadium 6,916```*

*```Clean Sheets
1.Chelsea
Stamford Bridge 9
2.Southampton
St. Mary's Stadium 7
3.Spurs
White Hart Lane 7
4.Bournemouth
Vitality Stadium 5
5.Man Utd
Old Trafford 5
6.Stoke
bet365 Stadium 5
7.Arsenal
Emirates Stadium 4
8.Liverpool
Anfield 4
9.Middlesbrough
Riverside Stadium 4
10.West Ham
London Stadium 4```*

*```CROSSES
1.Southampton
St. Mary's Stadium 415
2.Crystal Palace
Selhurst Park 397
3.Man Utd
Old Trafford 396
4.Man City
Etihad Stadium 363
5.Swansea
Liberty Stadium 356
6.Everton
Goodison Park 352
7.Liverpool
Anfield 344
8.West Ham
London Stadium 320
9.Chelsea
Stamford Bridge 318```
 
Katika pitapita zangu mtandaoni niliona habari kuhusu how to stop 3-4-3 chelsea formation walichokisema ni kuwa

1.unashambulia zaidi kupitia upande wa alonso ndo yuko weak mfano gemu ya man city

2.unaweka mshambuliaji mwenye akili upande wa moses maana huyu sio beki asilia kwa hiyo muda mwingi anakuwa out of position mfano gem ya spurs aliwekwa son na baada yule dogo n'kodou

3.unajaza viungo katikati na kukaba kwa nguvu kila chelsea ikiwa na mpira mfano mechi ya spurs,man city, na westbrom yaani unahakikisha chelsea haiflow

4.unafanya marking ya nguvu kuzuia washambuliaji wote wa3 mfano sunderland

5.unawatawanya mabeki wa3 hivyo wanajikuta hawana utulivu wa kutosha na kujikuta wanahangaika kukaba hasa mashambulizi ya kushtukiza mfano mechi zote kuanzia ya spurs

Kufanya yote haya inawezekana, swali linakuja utaweza kutimiza hayo yote kwa dakika zote 90??? Aliyejitahidi kidogo ni westbrom ndo maana conte aliswitch formation mara 2 ili kupata matokeo kwahiyo kumbe kuizuia chelsea sio mchezo mchezo hata kama mbinu unazijua!!!

Ila puchettino mungu anamuona maana yeye ndo alianika hadharani udhaifu wote wa chelsea haijalishi alishinda au hakushinda na conte akienda na 3-4-3 pale white lane ataona atakachofanywa amuulize morinho

Hayo yote unayoyasema yameshafanywa na Spurs, Man City, Westbrom na hata Sunderland na wameshindwa kupata matokeo mazuri

Chelsea tulikuwa na wasiwasi sana nani atacheza nafasi ya hiyo 1st 11 ikiwa tutapata majeruhi? Lakini taratibu timu imepata sub na replacement nzuri tu, Willian karudi kwenye form na kauelewa huo mfumo vizuri tu, sawa na Fabregas, so Chelsea iko kamili na mfumo uko timilifu
 
Wadau, nimesoma kwenye website ya club (www.chelseafc.com) kwamba kocha Conte anatarajia kufanya mabadiliko ya kikosi kitakachocheza na Crystal Palace hii leo ili kuwapumzisha baadhi ya wachezaji. Huyu baba asituharibie furaha yetu, kumbuka alivyobadili kikosi akawaingiza kwenye first 11 madogo wasio na experience ya kutosha hatimaye tukafungwa na Westham na kutolewa kwenye kombe la ligi mwezi wa 10.
Hii mechi itakuwa ngumu, ikumbukwe kwamba ni London derby!
 
Mabadiliko anaweza kufanya baadhi ya sehemu lkn si kwa timu yote. Unajua anachofanya Conte anataka wachezaji wote wawe na uzoefu kwa hiyo lazima awape nafasi ya kucheza hasa ukizingatia hii December tunacheza Mara kwa Mara.
 
Mdau mimi mwenyewe nimeingiwa na wasiwasi sana na hasa nilipocheki ile mechi waliyofungwa na man u hao palace walicheza vizuri sana kilichowaharibia ni kutaka droo hivyo ninadhani conte anatakiwa aingize winning team ambayo anamhusisha hazard na matic maana hawa wachezaji hawakucheza mechi zilizopita.
Pia tukumbuke hawa jamaa walituchapa msimu uliopita kama sijakosea hivyo si wamchezochezo.
 
Hata kama siyo mabadiliko ya timu nzima, akifanya kama alivyofanya kwenye league cup dhidi ya Westham tayari ana-create weak points ambazo zinamnufaisha opponent, hiyo ndiyo hofu yangu mkuu! Kama ni mabadiliko aweke wachezaji wengine walio na uzoefu wa kutosha.
 
Mdau mimi mwenyewe nimeingiwa na wasiwasi sana na hasa nilipocheki ile mechi waliyofungwa na man u hao palace walicheza vizuri sana kilichowaharibia ni kutaka droo hivyo ninadhani conte anatakiwa aingize winning team ambayo anamhusisha hazard na matic maana hawa wachezaji hawakucheza mechi zilizopita.
Pia tukumbuke hawa jamaa walituchapa msimu uliopita kama sijakosea hivyo si wamchezochezo.
Nadhani Matic na Hazard watakuwemo kwa kuwa wamepumzika walipokuwa majeruhi. Hisia zangu zinanituma kuwaza kwamba watakaopumzishwa ni kati ya Luiz, Kante, Cesar Azip na Moses.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom