Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kati ya hao hamna atayepumzishwa,hao ndiyo moyo wa chelsea
Yaani huyu baba asije akakatisha furaha yetu kwa kufanya mabadiliko yasiyo na tija! Mungu amsaidie kufanya maamuzi sahihi na mema!

Wana Chelsea tuungane kuimba wimbo huu!

Chelsea ushindi ushindi
Conte ushindi ushindi
Wengine hoi hoi x 2
Arse8 hoi hoi ,
Man U hoi hoi
Man City hoi hoi
Livafool hoi hoi
Spaz hoi hoi
Wengine hoi hoi x 2
Chelsea ni ushindi tuuuuuu!!!
 
Wakuuu mko Poa..ni Siku nyingine tunashuka dimbani japo bado nina wasiwasi na wachezaji wetu wenye kadi nne za njano ...mechi ya Leo ni muhimu kushinda na tutashinda ila akiamua kuwapumzisha baadhi tutamudu kwelii??? Zaha kiukweli Moses anatakiwa kacheza kwa makini make naona ana impacts kubwa ukizingatia na Benteke wanaweza kututia doa siku ya Leo ..all in all we must win the game tena mapema sana ...welcome back Hazard
 
Katika imani yangu ni kuwa chelsea hizi team ndogo anasumbuka sana kuliko hata unavyoweza kufikiria leo tunacheza na crystal palace na utaliona tena hili tatizo kama hawajaliona ni bora ucheze na mkubwa mwenzio anaefunguka una uhakika wa kumpiga 3 au 4 lakini hizi team zinazoziba njia chelsea wanateseka sana
 
Naona mnakosa imani na kocha sasa,hatuwezi kuchezesha timu ile ile mwanzo wa msimu mpaka mwisho lazima tubadilishe ndo maana kuna wachezaji wa akiba,mimi nashauri hazard aanzie benchi ili kupumzika zaidi maana january kuna game nyingi na ngumu
 
Fear factor wapinzani waliyonayo sio kidogo hata chaloba akipangwa ata perform tu tusiwe na wasiwasi crystal atapigwa tu
 
Naona mnakosa imani na kocha sasa,hatuwezi kuchezesha timu ile ile mwanzo wa msimu mpaka mwisho lazima tubadilishe ndo maana kuna wachezaji wa akiba,mimi nashauri hazard aanzie benchi ili kupumzika zaidi maana january kuna game nyingi na ngumu
Wapumzike kama ni majeruhi lakini kama hawana injury wacheze wote kitendo cha kuwaweka au kuwapumzisha kwa niionavyo crystal palace tutafungwa leo hata sare itakua ngumu leo
Tena matic aanze leo na sio fabrigas kule mbele kama hazard hajapona wilian costa pedroo
Ngolo asikosekane alonso pia na moses
Aspiliqueta cahil luiz wacheze wote ni bora kufungwa au sare tukiwa nao wote kuliko eti wakae bench hapa itakuwa tatizo kubwaa mno crystal palace sio watu wa mchezo mchezo hata kidogo nafikiri hasa wakiwa nyumbani
Match yao na man u nafikiri mliiona mwanzo mwisho
Conte aache utani na palace ushindi wa leo utakuwa mgumu kuupata sana sana naisoma sare leo kama conte ataleta madharau
 
Nimeipenda hii
a47277402fc1c4845f32a4b93cda5c04.jpg
 
Chelsea team: Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill (c); Moses, Kante, Matic, Alonso; Willian, Diego Costa, Hazard. [HASHTAG]#CRYCHE[/HASHTAG]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom