Mark my words akinaswa hazard na Pedro uwa mbadala ni Willian na anaingizwa fabregas ili kupiga pass ndefu zitazomkuta willian au Costa so kwa hali hiyo mpila unakua haukai mbele sababu wilian ni mpigaji ila si mpiga asist mzuri kifupi hawezi kumchezesha costa tokea pande yake na ndio maana mara nyingi anaingia nazo
Kma WHA imefungua macho makocha wengi kuhusu mfumo wenu sabu niliona walifanikiwa kumdhibit hazard na pedro wakaharibu kiungo yote nikaona costa anakuja kutafutia mipila kulia na Alifanikiwa kupata gori sabu ata jitihada za willian azikuzaa kitu kma unakumbuka..
Gori ufungwa kwa kosa lakini kama yule beki angekua conscialiny sizani kama costa angefanikisha azma yake
Ushauri wangu ni kwamba kwa mfumo ule conte hapaswi kua na KEY players yani pale anapaswa kuanzisha mashambulizi toka kwa yeyote Kati ya 7'11'8 na sio 7, 11 ila kwa mwendo ule wa hazard au Pedro haha tupo hapa maana... matic apate msaidizi wa namna yake kazi anayoifanya na mkata umeme ni kubwa sna
Mkata umeme he's too physical matic more of akili mchawi umri so wadau msijisahau.
Binafsi kwa sasa naangalia game za Chelsea kuliko.