Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Nimeangalia game ya Nigeria vs Algeria nimecheka sana...
Yaani Victor Moses ukimuangalia vyema anajaribu sana kucheza kama Eden Hazard akiwa timu ya taifa. Somehow yeye ndo amecheza kama free role player ila yani unaona jinsi ambavyo kucheza chelsea kumemfanya awe bora zaidi. Kuna attempt dakika za mwanzo ile kama angefunga ile angeringa sana yani alimuiga Hazard kuanzia chenga.
Upande wa pili, naona kabisa Mikel akiondoka aisee. Bado hawezi ku-control mid field. Kwa mechi za Africa labda bado anaweza kuendelea kutumika ila siku wakikutana na timu ya maana lazima walie. Na-support wazo la kumuuza. Ametutumikia vyema lakini sioni mchango wake positive kwetu anymore labda kama hataki games anaweza kubaki bench tu.
Mwisho, international break ikiisha coaches wengi hupenda kupumzisha wachezaji waliokuwa nje...Kuna dalili V. Moses, Matic na Cahill wakapumzika (au mmoja wao) kwenye mechi dhidi ya Middlesbrough wikiendi ijayo. Dah naiona mbaliiiiii...