Naomba unikumbushe au umesahau. Ten win in a row.Ntakukumbusha.
Khe khe khe kheeeeeeeeee....I have feelings kuwa leo Chelsea anapigwa..
Nimekutafuta by saa 6 ili tuonane pale LED Stadium of LightsHaya bhana. Tutaona by saa 6.
Hongera kwa ushindi.Naomba unikumbushe au umesahau. Ten win in a row.
Kweli sahivi unatembea kifua mbele.Khe khe khe kheeeeeeeeee....
willian nae auzwe tu china huko, kila mpira tu anataka ashuti kufunga agriiiiiii"#@';! *Courteous save the game today william amekosaa chance nyingi sana bahati ilikuwa yetu
Kwa kuishiwa nguvu huku na tubao twako twa bahati huwezi mfunga yyt anayekuja kuanzia sasasisi tumebakiza game nyepesi kuliko wenzetu city, asernal na liver. asernal bado na city na evarton, liver bado na city wakati city bado na liver na asernal , kwa hyo lazima wapunguzane point wao kwa wao
Ahsante.Hongera kwa ushindi.
Haya ni maneno tu. Jumapili siyo mbali kakaNani sasa hayaogopi MAJOGOO?
Naona anguko kubwa la CHELSEA
Mmeishiwa tayari nguvu,mnaanza kwa CL
Benteke hawezi waacha
Mmechoka sana!
Haya maneno yako subiri uje uyaongee siku ya jmosi kama sijakoseaKwa kuishiwa nguvu huku na tubao twako twa bahati huwezi mfunga yyt anayekuja kuanzia sasa
Usikimbie hapa Jumamosi kwa CL
Benteke hawezi kuacha,umeisha choka
Liverpool hamna mechi ambaye hawezi funga bao kuanzia 2
Kama tufungwe basi mpinzani afunge 3
Wewe huwezi tena funga bao zaidi ya 2
Everton na Man City namaliza mechi dakika 45 za kwanza