Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Anaitwa Bradley Lowery.. Ni shabiki wa kutupwa wa Sunderland.. Ana miaka mitano duniani na tayari madaktari wamethibitisha kuwa amebakiza miezi miwili tu kabla kansa haijakatiza pumzi zake na kuupeleka mwili wake futi 6 chini ya Ardhi...

Kuna kaburi liko wazi tayari likimsubiri Bradley..!

Kitu chake cha mwisho kabisa alichokiomba duniani ni zawadi ya kadi ya Krismasi.. kadi tu inamtosha kukifanya kifo chake kuwa na amani..

Everybody dies but not everyone has lived... Umeumia moyo wangu!!
 
IMG-20161214-WA0015.jpg
 
Premier League ‏@premierleague
Only 2 sides have stopped Costa either scoring or assisting in the #PL this season – Man Utd & Arse

Chelsea FC ‏@ChelseaFC
Chelsea team tonight: Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill (c); Moses, Kante, Fabregas, Alonso; Willian, Diego Costa, Pedro. [HASHTAG]#SUNC[/HASHTAG]
Chelsea FC ‏@ChelseaFC
Chelsea subs: Begovic, Ivanovic, Zouma, Chalobah, Matic, Loftus-Cheek, Batshuay

Chelsea FC ‏@ChelseaFC
Sunderland team: Pickford, Kone, Djilobodji, O’Shea (c), Jones, Denayer, Kirchhoff, Van Aanholt, Borini, Defoe (c)

Antonio Conte ‏@ChelseaAndConte
I don't understand why teams try to copy our formation just for the sake of it!

Eden Hazard will be missed in GW16: 1,625,123 Starting XIs 281,129 Captained 55,462 Triple Captained [HASHTAG]#FPL[/HASHTAG] [HASHTAG]#SUNCHE[/HASHTAG]

The Blues ‏@LondonIsBlue12
Cesar Azpilicueta will make his 200 appearances for [HASHTAG]#Chelsea[/HASHTAG] today.
 
Nadhani mmemsikia conte kuhusu makocha wanao iga mfumo wetu
Unajua timu zote ziko kwenye research ya jinsi gani ya kuibana Chelsea, walianza Totenham kwa kucheza moira wa Nguvu mwisho viungo vilichoka wakachapwa, na wengine na wengine

Juzi Moyes alikuwa Darajani akiganya reseach zake, Leo naona kaipanga Sundeland kwenye mfumo wa Chelsea, ina maana pale kati leo kutakuwa na wachezaji nane, hii yote ni kujaribu kuisimamisha Chelsea
 
Badala ya kutafuta point kwa vibonde wenzake anatafuta sifa isiyo msaidia
 
Unajua timu zote ziko kwenye research ya jinsi gani ya kuibana Chelsea, walianza Totenham kwa kucheza moira wa Nguvu mwisho viungo vilichoka wakachapwa, na wengine na wengine

Juzi Moyes alikuwa Darajani akiganya reseach zake, Leo naona kaipanga Sundeland kwenye mfumo wa Chelsea, ina maana pale kati leo kutakuwa na wachezaji nane, hii yote ni kujaribu kuisimamisha Chelsea
Ngoja tuone kama moyes ataisimaisha.
 
Kwanini mabao yetu katika mechi za hivi karibuni yapatikana dakika za mwisho..!?

Maana hawa wako kama WBA sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom