*MATCH REVIEW*
Man city 1 v Chelsea 3
Mifumo ya timu zote 2 ni 3 4 3,kama utakumbuka mida ya hii game kuanza niliuliza we mdau wa [emoji460] unafikiri ni kwann CONTE kamuanzisha mtaalamu FAB
kumbuka Matic hakuwa injury n Hata bench hakuwepo
Sababu kuu n ukiwa Kocha n lazima uwe mbunifu ,ofcoz hata ktk maisha ya kawaida nadhani Hata ktk idara yeyote Ili kufikia azma/lengo zuri,kuanzishwa kwa FAB lengo kuu n kwamba yy n original playmaker n ana uwezo mkubwa wa kuchezesha timu n kupiga long ball kama tulivyoona kwa COSTA goli la 1 kwa sababu Pep n muungwana wa soka la pass nyingi kama namna flani nilianza kuona kufanikiwa kwa hii plan b4 Hata game kuanza coz KANTE atatimiza duty zake bila kutegea n FAB hali kadhalika vilevile n ofcoz FAB kacheza Soka zur xna Leo coordination nzur pale kati
CONTE ni muungwana wa KUJILINDA kama da special 1,lkn yeye kakubali kubadilika kulingna n nyakatiiii
Na lile goal la CAHIL n pressure ya kushambuliwa huwa yanatokea
Costa anazidi kuthibitisha yeye n strika bora kwa sasa EPL n Ulaya kiujumla,goli lake la 11 mcm huu + partinership nzr n FAB
GUARDIOLA alipoteleza nionavyo Mimi n kumuacha TOURE nje hii game ilikuwa inamuhitaji yeye tumeona CTY wamekosa nafasi nyingi za magoli kitu ambacho kimewapelekea kipogo kitakatifu Nyumbani kwao coz TOURE ana uzoefu mkubwa ktk big match EPL kuliko kina Sane n pia uwezo mkubwa wa kuposses mpira,kubuni nafas n kufunga vilevile kaingia timu IPO kwenye pressure teyar has nothing to do
Kamari za CONTE zimetiki zote Leo,FAB & WILLIAN[emoji122][emoji460] moja ya principle kubwa xna ktk [emoji460] n Substitution for a correct man
Poor discipline iliyoonyeshwa n AGUERO & FERNANDINHO cjaipenda wao n wachezaji wakubwa mihemuko ya nini,Kadi ya Aguero n sahihi kabisa coz Alikuwa anamvunja LUIZ pale[emoji134]♂[emoji460]
For me this result is belong to Pep coz he fail on tactics
*Hongereni Bluz Kuleni upepo kileleni tukizidi kuelekea X- mass,wapinzani Sumu hamna*[emoji3][emoji460]