Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,546
Kama wewe hauwaogopi Chelsea basi unaweza kuwa bora kuliko wao.... Chelsea Kila siku wanaendelea kuimarika.... Wamewaacha city wachukue focus ya mchezo wao wakachukua focus ya goal...... Itafika siku kucheza na chelsea inabidi ukabe zaidi kuliko kushambulia....
Chelsea amemaliza Kila kitu Chelsea amejua jinsi ya kuumaliza mchezo..... Kuna vitu vya kujifunza kwa Chelsea wewe mimi na makocha wetu.
Guardiola alianza kufeli kwenye 3:4:3 yake kabla hajafelishwa na 3:4:3 ya Conte.......