Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kabla ya kuni-quote na kuandika uliyoandika unge-refer the context of my previous contributions in the discussion regarding Chel vs Spurs match! I always respect London derbies, all are great teams and Chelsea haijawahi kufunga timu ya London kirahisi tangu nianze kutazama mpira.
OUR NEXT VICTIM IS MAN CITY, STAY TUNED...Hayo ni maneno ya mihemko ya mashabiki which I normally don't entertain but I can tell you that for Conte and Chelsea players it's a different story likewise Man City!

Kocha wao pochetino mjanja alikuja na 4-1-4-1 akijua hata kama atafungwa sio goal nyingi
Ndio maana dk 40 za kwanza walikua vizuri sana

mimi si mzuri sana wa ku-analyze fomrations lakini blogs nyingi nilizosoma wanasema walicheza 3-4-2-1. Ilikuwa kama sisi ila wih more people katikati ndiyo maana kina Dembele na Wanyama walikuwa vizuri sana. Mpaka tulipoweza kuusoma mchezo wao basi wakawa hawatupi tabu tena!
 
Wale waliokuwa wanasema Spurs watapigwa goli 7, 4, nk; ooh historia ya Chelsea tangu 1990, oooh Rose hayumo! Nawauliza, mliona walivyotupeleka puta? Hiyo ndiyo EPL, hakuna cha mtoto wala mkubwa ukizubaa unapigwa!

Hawakutupeleka puta kwa kuwa walikuwa bora, mostly kwa kuwa mtu kama Hazard hakuwa in the game...ups n downs. Kante pia alicheza sawa standard but not his best game. Usiwape sifa sana kwa kweli.

Na bado hata game ya weekend tutaendelea kusema, "Man City lazima ale nyingi sana. Tena I dare say kwa man city tunaondoka na clean sheet."

Tabia yao ya kuruhusu magoli awali kisha kujifanya wanarudisha kwetu haitoapply...hapo ndipo kilio na kusaga meno vitasikika katika jiji la Manchester!!!
 
Kwa mara ya kwanza v. Moses anaingia katika kinyang'anyiro cha kuwania mchezaji bora wa mwezi

PFA Fans’ Player of the Month (November):
Gylfi Sigurdsson (Swansea City)
Matt Phillips (WBA)
Nordin Amrabat (Watford)
Sergio Aguero (Manchester City)
Victor Anichebe (Sunderland)
Victor Moses (Chelsea)
 
Ukweli ni kua match dhidi ya city itakua balaa kubwa chelsea tunapaswa kuwa makini sana tukishindwa bora sare lakini naamini wachezaji wa chelsea wataichukulia serious hiyo match na kuwa carefull kwa dk zote 90
Etihad sio pa mchezo mchezo hivi sasa
Itakua ni match ya kupaniana sana
 
PFA Fans’ Player of the Month (November):
Gylfi Sigurdsson (Swansea City)
Matt Phillips (WBA)
Nordin Amrabat (Watford)
Sergio Aguero (Manchester City)
Victor Anichebe (Sunderland)
Victor Moses (Chelsea)
Mechi ya city na chelsea ndoitaamua nani player of the month kati ya aguero na moses
 
Big match!!! ila lazima chelsea tujitahidi kwa kutumia udhaifu ya beki ya city ktk kutengeneza nafac bila kusahau ubora wa kikosi cha gurdiola ktk kiungo na forward line!!! ila Chelsea kwa sasa tupo on fire kila idara;
 
Mechi ya city na chelsea ndoitaamua nani player of the month kati ya aguero na moses

What month!??? Mechi hiyo itakuwa December 03.

November kulikuwa na mechi tatu tu za ligi.

Chelsea 5 - 0 Everton

Chelsea 1 - 0 Middlesbrough

Chelsea 2 - 1 Tottenham.
 
Ukifatilia maelezo ya guardiola ktk baadhi ya vyombo vya hbr unaona kabisa kua amekua Na mchecheto mkubwa sn na hii game tena anawahofia Chelsea kuliko mfano kutokana na jinsi Chelsea walivyoimarika ktk michezo yao ya hivi karibuni.
 
15193623_1330341137016478_7916533533486023253_n.jpg

One good post before a sad one...
 
15253519_1330607926989799_4608047431835885756_n.jpg

Associação Chapecoense de Futebol (ACF)

Ni Klabu ya mpira ya nchini Brazil ambayo ilikuwa inaelekea kwenye fainali za kombe la mpira kwa klabu za amerika ya kusini. Ni timu iliyofikia mafinikio hayo baada ya struggle ya muda mrefu - unaweza kuifananisha na Leicester ya mwaka jana au RB Leipzig ya msimu huu kwenye Bundesliga.

Walikuwa wakielekea Colombia kwenye mechi hiyo ambapo Jumatatu hii ndege waliyokuwa wamepakia ikiwa na watu 77 jumla ilianguka na watu 71 kufariki; wachezaji watatu, wahudumu wa ndege wawili na mwandishi wa habari mmoja ndio waliopona.

Huu ni msiba mkubwa kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu unakumbusha machungu ya timu ya Zambia na nyingine zilizotokea kabla ya hii.
 
Ila inanikumbusha maisha yalivyo mafupi...one moment upo hai, the next..hujui... [HASHTAG]#umejiandaaje[/HASHTAG]????

chapecoense-plane-crash-3.jpg

Wa kushoto kabaki wa kulia kafariki...

screenshot_21_1079600972.jpg

wote hawapo..

nintchdbpict000285478203.jpg

Last team picture...

nintchdbpict0002854679331.jpg

After...a few minutes/hours...
 
15253519_1330607926989799_4608047431835885756_n.jpg

Associação Chapecoense de Futebol (ACF)

Ni Klabu ya mpira ya nchini Brazil ambayo ilikuwa inaelekea kwenye fainali za kombe la mpira kwa klabu za amerika ya kusini. Ni timu iliyofikia mafinikio hayo baada ya struggle ya muda mrefu - unaweza kuifananisha na Leicester ya mwaka jana au RB Leipzig ya msimu huu kwenye Bundesliga.

Walikuwa wakielekea Colombia kwenye mechi hiyo ambapo Jumatatu hii ndege waliyokuwa wamepakia ikiwa na watu 77 jumla ilianguka na watu 71 kufariki; wachezaji watatu, wahudumu wa ndege wawili na mwandishi wa habari mmoja ndio waliopona.

Huu ni msiba mkubwa kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu unakumbusha machungu ya timu ya Zambia na nyingine zilizotokea kabla ya hii.
duhhh!! So sad
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom