Msichoke
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 573
- 402
Sijui tutafungwa lini? Nimemiss kufungwa maana raha za ushindi zinanifanya nazidi kuwa kibonge.
Klop na Wenger wanashukuru mechi zao zilipangwa kabla MASTER CONTE hajajipanga vizuri...kama ni zile ndondi zetu za utoto wale mabwana walimpiga CONTE wakati akivua shati wao wakampa za USO.
City hawakuwa makini kwenye umaliziaji...De Bryune anakusa goli ndani ya 3.
Mfumo uliwabana sana 3.4.3 huwezi kucheza ukiwa na wing backs UROJO kama SANE na NAVAS.
Gundgan hawezi physical battle na NG'OLO so Gignel Yahaya wa Mzee TOURE alitakiwa kuanza .
Kwangu mimi MAN OF MATCH alikuwa DAVID LUIZ 'The Geezer' maana ile shughuli ya jana angekuwa KAKA MKUBWA JT army leader tungesema mengine.