notoriousic
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 425
- 484
Naungana na Liverpool kuombea hii game iishe hahaaaaa
Wachezaji wetu wote ni vifaaBado nampa nafasi Pedro kuanza kikosi cha kwanza kuliko Willian kwa sabab ya ujanjanja wake anapokuwa karib na lango la timu pinzani
Matic alikuwa mgonjwa: Ushahidi tembelea tovuti ya Chelsea club!Wachezaji wote wako fiti kuanza. Kocha anaangalia ni adui gani anakutana nae kisha amuweke nani?
Rejea kupangwa kwa Faby badala ya Matic huku Matic akiwa mzima wala si majeruhi Na kwenye Sub hakuwepo. Faby alipangwa kwa kz maalum. Hapo ndio utaona ule mfumo Wa 3-4-3 unahitaji uwezo Wa wachezaji na si kujipangia tu. Lazima uweke mchezaji Mwenye kitu Fulani Na hii siri Conte anaijua ndio maana haachi kusema kila akiwatizama wachezaji wake anaona kuna kitu kinakuja.
Yaani mke ashindwe kunitawala kwao aje kunitawala kwangu?uzi ni ule ule ushindi iimabadiliko yalianza second half ya game yenu!
Marudio si yapo...
Kwangu mimi MAN OF MATCH alikuwa DAVID LUIZ 'The Geezer' maana ile shughuli ya jana angekuwa KAKA MKUBWA JT army leader tungesema mengine.
kweli mnakutana na vibonde eto cahil bekiTerry akiondoka msimu ujao na Cahill definitely atakuwa Captain, basi Luiz apewe usaidizi..he deserves it!
kwa namna attacking ilivyo kuwa hili si goli la kumlaumu Cahill, ilikua ni katika harakati ta kuokoa, lile shambulizi lilikua na presha sana ukizingatia tayar kuna mashambulizi kadhaa yamepita mfululizoCahill..
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hata ungekuwa wewe ungechanganyikiwa kutoka 3-1 hadi kufungwa 4-3 inauma sanaJamaa kawaje.....!!!![]()