Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama wewe hauwaogopi Chelsea basi unaweza kuwa bora kuliko wao.... Chelsea Kila siku wanaendelea kuimarika.... Wamewaacha city wachukue focus ya mchezo wao wakachukua focus ya goal...... Itafika siku kucheza na chelsea inabidi ukabe zaidi kuliko kushambulia....

Chelsea amemaliza Kila kitu Chelsea amejua jinsi ya kuumaliza mchezo..... Kuna vitu vya kujifunza kwa Chelsea wewe mimi na makocha wetu.

Guardiola alianza kufeli kwenye 3:4:3 yake kabla hajafelishwa na 3:4:3 ya Conte.......
Ni kweli mkuu.

Alafu hawa makocha wengine waoga tu. Yani wao wakiwa wanakutana na Chelsea inawalazimu wabadili mifumo yao ya awali na kutrain mfumo ili kukabiliana na Chelsea. Hii ni shida kwao. Nimeona Spurs nao walikuja na mfumo mwingine na Leo hii city kaka kwa style hiyo hiyo matokeo Yake wamekula kichapo.

Kitu nilichokiona Leo vijana Wa Conte Moses na Alonso walikua hawapandi sn kwasababu ya kuweka ulinzi mkubwa na wakawa wanavizia nafasi muhimu na nzuri tena wakitumia uwezo binafsi Wa wachezaji kuwaadhibu hao city.

Ni hatari sn.....
 
Nimeangalia fixtures zijazo za Chelsea, yaani wanaweza kamua kama sita mfululizo!
January na February next year ndio kutakua na fixtures ngumu kidogo. Maana kutakua na uso kwa uso na Spurs, Leicester, Arsenal na Liverpool na kuna vimchekea chekea kidogo hapo tena kwahiyo hiyo ikipita salama ubingwa mweupe!
 
Guardiola kasifiwa kuwa anajua tactics kalewa sifa eti kajifanya kupanga 3-4-3.

Ananikumbusha Mauricio Poccetino last weekend na Tottenham yake. Ukitupangia 3-4-3 jiandae kufungwa tu!!!
Ni mara ya kwanza wamekutana wakiwa ma managers na Conte kaibuka mbabe!
 
Hata mimi naona maamuzi yaliobaki ni kuamua unashinfa goli ngapi kwa kila gemu
1480786262717.jpg


Makocha Wa jiji la Manchester wakula goli 7 na wameambulia kupata goli moja.

Wacha Conte awe mfalme Wa Manchester city.

[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ni kweli mkuu.

Alafu hawa makocha wengine waoga tu. Yani wao wakiwa wanakutana na Chelsea inawalazimu wabadili mifumo yao ya awali na kutrain mfumo ili kukabiliana na Chelsea. Hii ni shida kwao. Nimeona Spurs nao walikuja na mfumo mwingine na Leo hii city kaka kwa style hiyo hiyo matokeo Yake wamekula kichapo.

Kitu nilichokiona Leo vijana Wa Conte Moses na Alonso walikua hawapandi sn kwasababu ya kuweka ulinzi mkubwa na wakawa wanavizia nafasi muhimu na nzuri tena wakitumia uwezo binafsi Wa wachezaji kuwaadhibu hao city.

Ni hatari sn.....
Kubadili mfumo ghafla ambao wachezaji hawajauzowea ili ukabiliane na CHELSEA ni sawa na kuijaribu SUTI mpya siku ya harusi,ikiwa sio size yako ndio hakuna tena muda wa kuirekebisha...
 
View attachment 442413

Hongereni kwa kuwachapa Mancs, khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee timu zinazonunua games leo walikuwa wanashndana nani ana donge kubwa khe khe khe keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kazi kwei kwei .... ... Bring them on!
Hehehehehh pumbavuuuuuu aseno mmerudi nafasi yenu ya 4 mliyoizoea[emoji12] nasi tuko kwenye nafasi yetu tuliyoizoea ..

Soon tutamnunua hadi wenger[emoji16]
 
Katika siku nimefurahi leo pia naiweka kwenye kumbukumbu zangu! Chelsea kamchapa "Man City" nyumbani kwake 3-1!
Wow! Nimefurahi sana. Tena goli walilopata Man City lilikuwa la kujifunga, na magoli yote 3 tumeyapata kipindi cha pili.
Inapendeza sana kumkalisha chini mtu kama "Pep Guardiola". Fabregas ! What a pass man!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Konte ni Shiiidaaaaaaa....
Pia tunawapa tano wachezaji wote kwa kusapoti juhudi hizi mahsusi za Kamanda Konte.
Tupo kileleni now wk ya 3 next wk tutakamilisha mwezi. Kwa ligi ngumu yenye ushindani wa mpishano wa point 1 au point sawa na kuzidiana magoli si mchezo ku-maintain kukaa kileleni kipind chote hicho... Rahaaa sana Ze Bluuz...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom