Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jana Conte alilazimisha kupanga wachezaji ambao hata hawakuendana na mfumo mabeki wamekuwa wengi kuliko viungo washambuliaji sasa sijui magoli yangepatikana vipi kama alikuwa anabahatisha vile
 
Jana Conte alilazimisha kupanga wachezaji ambao hata hawakuendana na mfumo mabeki wamekuwa wengi kuliko viungo washambuliaji sasa sijui magoli yangepatikana vipi kama alikuwa anabahatisha vile
sio kweli mkuu, sema waliopangwa walishindwa kucheza according to game plan

wa kwanza ni oscar hakuwa msumbufu kama hazard alivyo pia batshuy movement zake hazikuwa zenye madhara pia john terry hajui awe wapi wenzake wakiwa wapi hajaujua mfumo na huyo ola aina anatakiwa kucheza mechi zaid maana uzoefu uko below level inayotakiwa
 
Hahahah ..sijui hii niifananishe na nini? Yani kidonge cha panadol ukipate sukari!

Man city ana shine kwao Jumatano huo ndo ukweli!

Cc: mrs. mcharo everlenk
Nirudishie chenjiiiiiii umekuwa Nabii wa uongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] BTW poyeeeeeeeeeee......uchijali kombe lenyewe la kuku hilo[emoji3]
 
upload_2016-10-27_12-13-54.png

What made Chelsick crumble .... .... ....
Khe he khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
upload_2016-10-27_12-17-22.png

Chelsick skipper Terry was targeted before the violent EFL Cup clash at the London Stadium

upload_2016-10-27_12-21-11.png

upload_2016-10-27_12-22-50.png

Police stand in the way to ensure Chelsick and West Ham fans are kept apart

upload_2016-10-27_12-23-53.png

upload_2016-10-27_12-24-53.png

Rival supporters taunt each other and clash with stewards during EFL Cup clash

Uncivilised fans should be banned ..... .. Poleni wakuu.

Conte, na kuna somo la kujifunza kuhusu waliopangwa first eleven leo..
KTBFFH
Jana kabla ya mechi kuna jamaa humu alisema hao madogo experience hawana lakini wengine wakasema madogo wako vizuri.
Huko nyuma niliwahi kusema kwamba London derby siyo lelemama, yeyote akifanya mzaha anapigwa.
Conte kupanga wale madogo first 11 ni mzaha. Nimefurahi kwamba tumepigwa, nina uhakika kuna kitu Conte amejifunza!
 
Uzoefu ni kitu kizuri
Haiwezekani kwenye london derby unachezesha madogo ambao naamini uzoefu wa derby hawana
Sikushangaa sisi kufungwa kabisa
 
Basi inatoshaaaaa...

Uzoefu ni kitu kizuri
Haiwezekani kwenye london derby unachezesha madogo ambao naamini uzoefu wa derby hawana
Sikushangaa sisi kufungwa kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom