sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
hahahaa...........kisa nini?sikupendi!
hahahaa...........kisa nini?sikupendi!
Sisi tulikupenda na tuliyapenda Yokohama , lakini West Ham walikupenda zaidi na Waliyapenda matairi ya Yokohama waliyaendesha mpaka wakayatia puncture.sikupendi!
Prediction southampton 0 chelsea 2
Kabisa mkuu bila hivyo tutashindwaTunatakiwa kuanza hii game kwa nguvu kama game ya Manchester Utd