Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongereni wana Chelsea wenzangu wote, ushindi wa Man Utd wala sio wa kushangilia sana ni ushindi uliozoeleka,
 
Duh mechi tatu zijazo si mchezo...maana zinapishana siku mbilimbili tu...

Jumapili - Man UTD

Jumatano - Westahm (EFL Cup)

Jumapili - Southampton

Hapo ndo October iishe...si mchezo walai!!!

mkuu wahenga wanasemaga "one down two to go" taratibu tutazitafuna tu...
 
HAHAAA kaka chelsea ya mou ndio huwa inatusumbua sana lakini hii ya conte sina papara nayo kabisa shaw, blind, bailly na valencia wanatosha kabisaa kuwaficha hao akina coshta, hazard na willian,

kuna kale katoto kashule rashford kakiongozwa na babu yake zlatan wakisaidiana na kaka yake wakufikia tony martial sioni kabisa beki wakuwazuia labda angekuwepo zouma.
mkuu Nonda hawezi akawa upande wa special one HAHAHAAA jamaa anamchukia mourinho huyu dah

On paper you are good but on reality you are nothing special, hazard peke yake ndio nam admire the rest wanazuilika 100%
Naziona goli za pogbackk, school boy, and the old man kadabra.

And who is alonso by the way??? (Serious Qn) what is special about him???

All of your backline are headless chicken (apart from azipilicueta).

Jamani naombeni mnisaidie kumtafuta huyu mtu tangu kick-off hajaonekana

cc: Mentor , Ntuzu , CleverKING
 
mkuu wahenga wanasemaga "one down two to go" taratibu tutazitafuna tu...

Kwa performance ya jana ninaamini kabisa...

By the way naona kama Conte hamfagilii sana Ruben Loftus Cheek.

Nimeangalia pia clip ya mahojiano ya Thibaut na Eden wanamsifu sana Ola Aina kuwa ana speed.

Kwa mtazamo wangu nadhani Conte anawapenda zaidi Ola Aina na Nathaniel Chalobah!!!! Wakifanya vizuri wana nafasi ya kupata muda mwingi wa kucheza...hasa msimu ujao ambapo tutakuwa kwenye mashindano mengi zaidi.
 
HAHAAA kaka chelsea ya mou ndio huwa inatusumbua sana lakini hii ya conte sina papara nayo kabisa shaw, blind, bailly na valencia wanatosha kabisaa kuwaficha hao akina coshta, hazard na willian,

kuna kale katoto kashule rashford kakiongozwa na babu yake zlatan wakisaidiana na kaka yake wakufikia tony martial sioni kabisa beki wakuwazuia labda angekuwepo zouma.
mkuu Nonda hawezi akawa upande wa special one HAHAHAAA jamaa anamchukia mourinho huyu dah

Hahahahahahahahahahaha....

On paper you are good but on reality you are nothing special, hazard peke yake ndio nam admire the rest wanazuilika 100%
Naziona goli za pogbackk, school boy, and the old man kadabra.

And who is alonso by the way??? (Serious Qn) what is special about him???

All of your backline are headless chicken (apart from azipilicueta).

Ulibahatika kumfahamu Alonso au ulichanganyikiwa sana?

Jamani naombeni mnisaidie kumtafuta huyu mtu tangu kick-off hajaonekana

cc: Mentor , Ntuzu , CleverKING

Hahahah huyu jamaa alikuwa anadhani hao pensioners wake wangeweza kutufunga. Angeongelea draw labda kidogo ningeweza kumkubalia kwa ile juzi.

Hofu yangu ni hali yake baada ya game ya Jumatano! "Sipati picha mimi itakavyokuwa...."
 
Huyu dogo ni jembe...Huyu mimi ningeweza kumuweka acheze nafasi ya Alonso ama Cahill.

Kwanza wachezaji wenzake wanasema ndiyo the fastest player in the first team kwa sasa. Yeye akifuatiwa kwa karibu na Azpilicueta.

Sasa Azpi akiwa kulia, yeye kushoto na pale kati kichaa Luiz...kuna atakayepita kweli? Natamani apangwe Jumatano!
 
Nathaniel Chalobah: Midfield

Nadhani huyu kwa nilivyoangalia anafaa kucheza nafasi ya Matic zaidi kuliko Kante.

Sio mchoyo wa pasi kabisa na nadhani hii itampa rapport nzuri na wachezaji wenzake.
 
Ningetamani hawa wacheze Jumatano:
- Oscar,
- Willian,
- Ola Aina,
- Nathaniel Chalobah,
- Mitchy Batshuayi.

Vyovyote Conte atakavyopanga maana/ingawa game yenyewe ni mtoano...extra time and penalties najua atapanga kikosi kigumu zaidi. Ila walau watatu kati ya niliowataja.

NB: Kama Fabregas atakuwa amepona ningefurahi zaidi akacheza aisee..atasaidia sana kutoa pasi ndefu accurate maana ka ukuta ka West ham nako si ka mchezo mchezo wakati mwingine.
 
Remember when people said Kante joined Chelsea for money? Yeah well yesterday, he literally played the whole match with £100m in his pocket.

14705660_1325801820812063_8959584979187010846_n.jpg
 
WATU WA MEME WANA MANENO: HEY
1f621.png

THE BIKE IS IN BETTER CONDITION THAN MAN U
1f602.png
1f602.png

14705819_1325730514152527_4229731198543588587_n.jpg
 
Teh! Teh! Mkuu unaonekana wewe ni hodari sana na unafaa kuuguza Mgonjwa! Man u hachomoki kwa Man city,ushindi wake hapo ni draw tu nayo ngumu kuipata.
[emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] shabiki wa ukweli wewe wale shabiki maandazi utasikia kisasi kwa man city
 
Huyu dogo ni jembe...Huyu mimi ningeweza kumuweka acheze nafasi ya Alonso ama Cahill.

Kwanza wachezaji wenzake wanasema ndiyo the fastest player in the first team kwa sasa. Yeye akifuatiwa kwa karibu na Azpilicueta.

Sasa Azpi akiwa kulia, yeye kushoto na pale kati kichaa Luiz...kuna atakayepita kweli? Natamani apangwe Jumatano!

Tatizo alilonalo ni uzoefu tu ila ni mchezaji mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom