everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Hongera kwa kurudi kundini nitafutie na @b5click mwambie nimemmiss sana !! Kama yupo kwa jina lingine ajitambulishe. ........Hongereni sana wana-blues wenzangu kwa kumpiga huyu Mourinho na timu yake, sasa tunahamishia kazi Jumatano kwa West Ham....