Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Half-Time; Southampton 0 - Chelsea 1 (E.Hazard 06')

st.PNG
 
Southampton 0-2 chelsea, special thanks for Hazard (5min) and Diego Coasta (55min)
 
Watu wanasherrekea nini! ila ligi ilivyokaa ukidroo au kufungwa tu unaachwa mbali aisee.

Ukizubaa tu unaliwa kichwa
 
39E2CB4F00000578-3887642-image-a-36_1477852724796.jpg


Nemanja Matic...naamini msimu uliopita hawa majamaa walikuwa kwenye mgomo wa aina flani....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom