Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ningetamani hawa wacheze Jumatano:
- Oscar,
- Willian,
- Ola Aina,
- Nathaniel Chalobah,
- Mitchy Batshuayi.

Vyovyote Conte atakavyopanga maana/ingawa game yenyewe ni mtoano...extra time and penalties najua atapanga kikosi kigumu zaidi. Ila walau watatu kati ya niliowataja.

NB: Kama Fabregas atakuwa amepona ningefurahi zaidi akacheza aisee..atasaidia sana kutoa pasi ndefu accurate maana ka ukuta ka West ham nako si ka mchezo mchezo wakati mwingine.

Nakubaliana nawe 100% na naamini hao wataanza hiyo mechi Conte anajaribu kumpa kila mtu nafasi yake ili wasichoke sana mapema, akina Hazard wataingia kama tukiwa tumezidiwa sana
 
Tunakumbushana tu...

14520340_10155237318371988_6299788451148848594_n.jpg
 
Napenda watu kama nyie, japo ligi tofauti na na mazingira ya kazi yasiwe sawa, ila unajua mambo aliyoyafanya Juventus?
Juve alikuta timu iko vizuri ameondoka bado iko vizuri hakutoa mchango wowote pale...hapo Chelsea ataboronga tu ni suala la muda atatimuliwa
 
Juve alikuta timu iko vizuri ameondoka bado iko vizuri hakutoa mchango wowote pale...hapo Chelsea ataboronga tu ni suala la muda atatimuliwa
Wewe conte ndo aliyerejesha heshima ya juventus, timu ilikuwa chini sana lakini akairejesha so kama imekuuma yeye kupata matokeo mazuri meza wembe
 
Juve alikuta timu iko vizuri ameondoka bado iko vizuri hakutoa mchango wowote pale...hapo Chelsea ataboronga tu ni suala la muda atatimuliwa

22 May 2011 sporting director wa Juventus anamtangaza Antonio Conte kufundisha timu.

msimamo wa ligi 2010/2011 ulikuwa hivi
ms.PNG

sasa uzuri upi unaousema wewe?
 
Kumbe hawa Hammers nao wanatumia 3-4-3. No wonder walitupa shida kidogo mechi ya ufunguzi wa ligi.

Hivi ndivyo mitandao inavyobashiri wataanza....

Screen-Shot-2016-10-25-at-12.20.28.png
 
Bleacher report nao wamepredict hivi:

West Ham Predicted XI: Adrian, Cheikhou Kouyate, Winston Reid, Angelo Ogbonna, Michail Antonio, Mark Noble, Pedro Obiang, Edimilson Fernandes, Manuel Lanzini, Dimitri Payet, Simone Zaza

Chelsea Predicted XI: Asmir Begovic, Cesar Azpilicueta, David Luiz, John Terry, Victor Moses, N'Golo Kante, Nemanja Matic, Marcos Alonso, Willian, Eden Hazard, Michy Batshuayi

Hapo kwetu natamani kwa Alonso acheze Ola Aina, kwa Eden aanze Oscar na kwa Matic acheze Chalobah!

Slaven Bilic amesema yeye game hii anapanga kikosi kazi hana cha youth power kwa game hii!!
 
Hapo inabidi mapafu ya mbwa Azipilicueta atembee na Payet ahakikishe hapiti wala hatoi pass hatarishi, huyo Lanzini ni mjanja mjanja sana ila Cahil anaweza muhimili vizuri sana. Pia nahisi kesho Terry ataanza badala ya Luiz.

Katikati hata awe Matic au Chalobah akisaidiana na Kante wanaweza shika dimba vizuri tu.
 
Cahill apumzike acheze Ola..ni beki mzuri na nimependa walivyomsifia wenzake..FASTEST CHELSEA PLAYER..huyu atasaidia kufuta attack za Antonio kwa upande huu mwingine.
 
Ngoja nicheki mechi ya Liver na Tottenhamn..nitarejea baadaye tena huku!

Mpaka sasa Liver 1 - 0 Tottenham. dakika ya 54
 
Bleacher report nao wamepredict hivi:

West Ham Predicted XI: Adrian, Cheikhou Kouyate, Winston Reid, Angelo Ogbonna, Michail Antonio, Mark Noble, Pedro Obiang, Edimilson Fernandes, Manuel Lanzini, Dimitri Payet, Simone Zaza

Chelsea Predicted XI: Asmir Begovic, Cesar Azpilicueta, David Luiz, John Terry, Victor Moses, N'Golo Kante, Nemanja Matic, Marcos Alonso, Willian, Eden Hazard, Michy Batshuayi

Hapo kwetu natamani kwa Alonso acheze Ola Aina, kwa Eden aanze Oscar na kwa Matic acheze Chalobah!

Slaven Bilic amesema yeye game hii anapanga kikosi kazi hana cha youth power kwa game hii!!

Kama ikatokea kikosi kiwa hivyo, ni balaa. Ila nahisi kwa Matic ataanza Chalobah....na kama Ola Aina ataanza nadhani Victor Moses ndo anaweza anza bench kutokana na wao wote wanatumia mguu wa Kulia, akianzia upande wa Alonso inaweza ikawa ngumu kidogo kupiga cross japo inawezekana pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom