Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

tulisema kwamba tunaomba misuko suko yenu ya champions league muilete kwenye premier league na kweli kitu kimekubali sio.

masanilo ,rev.kishoka ,peasant na wengineo njooni mjitetee .pape yumo humu baada kufungwa goli lakusawazisha akakorofisha jf hili tusiweke comments humu.
Chelsea kuchukua EPL ndoto zimefifia toka jana matokeo ya jana tulitegemea wangeyapata atakapo cheza big match.

Timu ambayo ina nafasi kubwa ya kuchuka EPL ni watoto wa Arsenali, Chelsea bado hajacheza big match zake zote while Man jana kavuta moja na ushindi mnono angalau Man U wanaweza kuwatia jamba jamba watoto wa arsenali .

Big Match za Chelsea:

Saturday, 27 March 2010
Chelsea v Aston Villa, 15:00

Saturday, 3 April 2010
Man Utd v Chelsea, 12:45

Saturday, 17 April 2010
Tottenham v Chelsea, 17:30

Saturday, 1 May 2010
Liverpool v Chelsea, 15:00

Sunday, 9 May 2010
Chelsea v Wigan, 15:00,

first round Chelsea alipigwa tatu,so anything can happen na ndio gemu ya mwisho for chelsea

Man United

Saturday, 3 April 2010
Man Utd v Chelsea, 12:45

Saturday, 17 April 2010
Man City v Man Utd, 12:45

Sunday, 25 April 2010
Man Utd v Tottenham, 14:00

Wakati Watoto wa Arsenali

Saturday, 10 April 2010
Tottenham v Arsenal, 12:45

Saturday, 24 April 2010
Arsenal v Man City, 17:30

Sunday, 9 May 2010
Arsenal v Fulham, 15:00

Anything can happen.

Thus, kutokana na ratiba ilivyokaa Chelsea sio watachemsha kuchua EPL bali wasipoangalia watamaliza ligi wakiwa wa Tatu wakati kombe limekwenda kwa Arsenal kama watakuwa makini

Nafikiri Mourinho still master at the Bridge.
 
Jamani kuna msiba hapa mtaacha JF itokomee ... .... .... kaeni kimya. Teh teh teh ... .. Poleni sana Chelsea mwangalieni tu huyo Avram Grant asilipize kisasi cha kufukuzwa.
 
Saturday, 10 April 2010
Tottenham v Arsenal, 12:45...........Arsenal anakula kichapo 2-1

Saturday, 24 April 2010
Arsenal v Man City, 17:30..............Draw 2-2

Sunday, 9 May 2010
Arsenal v Fulham, 15:00..................Draw 1-1

but mtapata nafasi yenu ya tatu kama kawaida.
 
Saturday, 3 April 2010
Man Utd v Chelsea, 12:45.........2-1 man utd on top

Saturday, 17 April 2010
Man City v Man Utd, 12:45.......Man utd 2-Man city 0

the 4th title in a row beacons........................
 
Saturday, 27 March 2010
Chelsea v Aston Villa, 15:00............Draw 1-1

Saturday, 3 April 2010
Man Utd v Chelsea, 12:45................Chelsea mnakula Kichapo 2-1,hamtoki OT

Saturday, 1 May 2010
Liverpool v Chelsea, 15:00........Liverpool 2-Chelsea 0...Liverpool clinch last CL spot.

Saturday, 17 April 2010
Tottenham v Chelsea, 17:30.......Draw and the hopes for PL titles fades
 
Mmhhhhhhhhh,haya Mbebabox a.k.a Sheikh Yahya wa Jukwaa la Michezo JF........Nimeamini kupenda kubaya jamani,duh
 
Nipo likizo na baada ya likizo nitajipa ban had mwisho wa ligi ndo nitarudi kwenye hili jukwaa.
 
Nipo likizo na baada ya likizo nitajipa ban had mwisho wa ligi ndo nitarudi kwenye hili jukwaa.

Tumepunguza mahambulizi jamani tunahitaji hiki kijiwe kiwe hewani, hata Avram Grant tumemwomba kesho/kutwa afanye kitu cha utu uzima kidogo asiwaadhiri.
 
Kwasa Wacha na Wenge Musica,

Kaka yenu Icadon kakimbia mmebakia na kaka wa kambo Balantanda na GT anatumia rimoti kontroli.

Hakuna aliyekimbia hapa, jana Kamati Kuu ya Chama ilitangaza hali ya hatari na ndio maana TISS wakafunga mtandao😉

Msiogope, tuna mechi nne, tumekubali tuliboronga, lakini bado tuko hai!
 
Kwasa Wacha na Wenge Musica,

Kaka yenu Icadon kakimbia mmebakia na kaka wa kambo Balantanda na GT anatumia rimoti kontroli.

Hakuna aliyekimbia hapa, jana Kamati Kuu ya Chama ilitangaza hali ya hatari na ndio maana TISS wakafunga mtandao😉

Msiogope, tuna mechi nne, tumekubali tuliboronga, lakini bado tuko hai!
Chelsea manager Carlo Ancelotti said his side must win at bottom-club Portsmouth on Wednesday in order to stay in the Premier League title race.

Otherwise nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi inanukia.
 
Kwasa Wacha na Wenge Musica,

Kaka yenu Icadon kakimbia mmebakia na kaka wa kambo Balantanda na GT anatumia rimoti kontroli.

Hakuna aliyekimbia hapa, jana Kamati Kuu ya Chama ilitangaza hali ya hatari na ndio maana TISS wakafunga mtandao😉

Msiogope, tuna mechi nne, tumekubali tuliboronga, lakini bado tuko hai!
Hivi Sandra Matuta naye kakimbia
 
Kwasa Wacha na Wenge Musica,

Kaka yenu Icadon kakimbia mmebakia na kaka wa kambo Balantanda na GT anatumia rimoti kontroli.

Hakuna aliyekimbia hapa, jana Kamati Kuu ya Chama ilitangaza hali ya hatari na ndio maana TISS wakafunga mtandao😉

Msiogope, tuna mechi nne, tumekubali tuliboronga, lakini bado tuko hai!
Chelsea suffer Ivanovic knee injury blow
Chelsea have been dealt another defensive injury blow with the news that Branislav Ivanovic will be out for at least a month, after tearing his medial knee ligaments against Blackburn Rovers on Sunday

Ivanovic suffered the injury after colliding with Rovers' goalscorer El-Hadji Diouf during the 1-1- draw at Ewood Park, and he will join left-back Ashley Cole and first-choice right-back Jose Bosingwa on the sidelines.

"Injuries are piling up at the wrong time"

Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Chelsea nafasi ya tatu imenukia
 
article-0-08BF04A6000005DC-734_468x383.jpg

Point to prove: Chelsea's captain John Terry gestures to German referee
Wolfgang Stark (left) during the match against Inter Milan


article-0-08C0460F000005DC-806_468x286.jpg


Making a point: John Terry confronts an official as he goes down the tunnel
following Chelsea being knocked out of the Champions League

article-0-076A4B39000005DC-860_468x286.jpg


Face off: Chelsea's Michael Ballack screams at ref Tom Henning Ovrebo
after he turned their late appeal for handball against Barcelona

Poleni sana Chelsick haya matatizo sijui yataishaje?
 
Player power king at Chelsick

Didier_Drogba_682x_1010280a.jpg


Evil eye ..... .... Acheni Lotte does not look impressed at Drogba outburst


Cole-splash_1010538a.jpg



CARLO_CAROUSEL_1010777a.jpg


Poleni sana wafiwa ... ....
 
Player power king at Chelsick



Didier_Drogba_682x_1010280a.jpg


Evil eye ..... .... Acheni Lotte does not look impressed at Drogba outburst


...maskini Acheni Lote, muone alivyoregeza kidevu! 🙁
Huyu Drogba na 'spoilt brat' wenzake walianza hivi hivi kwa Mzee Scolari mpaka kibarua kikaota majani!
 
_47531841_ind2466.jpg

Leo ni leo asiye na mwana aeleke jiwe.

Petr Check is back while Anelka is warming the bench
 
droga 32mins, malouda 50,60 mins surely chelsea will climb back to 2nd position
drogba makes it 4-0,lampard complete the rout 5-0
congrats chelsea.
 
Hongereni Chelsick kwa ushindi mnono, angalau matanga yameisha leo hiki kilio kilikuwa kikubwa. Poleni sana. Naona hata Mungiki brothers wamemuachia Taliban supporter hivyo tutegemee mema hapa jukwaani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom