Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wenyewe mko huku? Mbona kuko kimya sana?

Wakuu Invisible, Masanilo, Peasant & Co. poleni sana kwa kipigo cha jana nyumbani toka kwa Inter Milan. Kweli mpira ni dakika 90 maana sikuyategemea kabisa matokeo kama hayo hasa ukitilia maanani mlikuwa nyumbani…kweli si siku zote mcheza kwao hutuzwa. Nilidhani mtakuwemo kwenye last 8 lakini naona mwaka huu haitakuwa hivyo. I hope mtahamishia nguvu zenu kwenye EPL ili angalau mpambane nasi hadi dakika ya mwisho vinginevyo mnaweza msiambulie chochote maana GUNNERS lazima tushinde EPL. Poleni sana.

Please read the prediction of one "football analyst" below, few hours before the match yesterday. According to this "analyst" it was a forgone conclusion that IM were out of UEFA tournament

All the pressure is on Joe Mourinho on this one.
The Special One was hired by Inter Milan two years ago to deliver the Nerazzurri their first European Cup since 1965. Last year, Inter was eliminated in the second round, which means his job is on the line now - if Inter doesn't make it to the semifinals, he will be gone by the start of next season.
Inter enters this game having suffered a surprising 3-1 loss to Catania last week in Serie A action. The Italian champions lave let their stranglehold on the title slip, allowing city rivals AC Milan to climb within a point of them.
Chelsea, on the other hand, is riding high. They're involved in a dogfight with Manchester United and Arsenal for the Premiership crown, and the Blues have been lethal lately. Didier Drogba has been in fine form, and I expect him and midfield dynamo Frank Lampard to run Inter's defence ragged and score a hatful of goals at Stamford Bridge
Prediction: Chelsea wins game 3-1 (Chelsea wins series 4-3 on aggregate)
 
Ashley Cole ni sehemu ya Chelsea,ndio maana kila kinachoendelea wanatumia,mchezaji wa Chelsea Ashley Cole......
 
Ukweli upo kwamba pengo la Essien lipo tena wazi ila game iliyopita kiungo kwa ujumla ilipwaya sana si Lampard pekee ndo wakulaumiwa nadhani ni wote pale ktkt Ballack na Mikel hawakucheza kwa nguvu na kujituma kama tulivyowazoea.Naweza sema ni mchezaji kama vile mmoja tu ndo nilimuona yupo uwanjani na hakupata ushirika wa wenzake.So finally we are out and we waiting when next offered!
That's true! Tunamkosa sana Essien pale kati, hasa ile mechi ya Inter. Jamaa walikuwa wanachapa kazi sana pale kati, hivyo ni Essien tu angeweza kuwavuruga. Nafikiri ni Malouda peke yake alicheza vizuri siku ile, wengine wote walikuwa hovyo.
 
That's true! Tunamkosa sana Essien pale kati, hasa ile mechi ya Inter. Jamaa walikuwa wanachapa kazi sana pale kati, hivyo ni Essien tu angeweza kuwavuruga. Nafikiri ni Malouda peke yake alicheza vizuri siku ile, wengine wote walikuwa hovyo.

kaka maneno yako yananipa uchungu mie....aaaaagh kweli Chelsea wakutufanyia hivi sie!!!! anyway there is always next time ,i believe next season we will come more stronger...dahh lakini iliuma sana ile goli ya Etoo
 
chelsea-main_682x40_972524a.jpg



Hawa ndio waliowaangusha Preston khe khe khe khe



terry_280x390_972581a.jpg




Job done khe khe khe

njia yetu ni nyeupeeeee peeeee.......

Kweli njia nyeupe. Nyie endeleeni tu na Preston et al. Huko ndiko mna belong.
 
kaka maneno yako yananipa uchungu mie....aaaaagh kweli Chelsea wakutufanyia hivi sie!!!! anyway there is always next time ,i believe next season we will come more stronger...dahh lakini iliuma sana ile goli ya Etoo


Mbona unatia shaka nyie mko kwenye ligi ya Preston ... .... .... khe khe khe ..., wakati tunabaeleza Cashcole majeruhi, Essien majeruhi, JT fuska mlikuwa mnachekelea chacha kiko wapi? Ile biashara ya unga sasa naona itashamiri maana Abram O vich fuko toboka sasa.
 
Ab Tchaz!
Am kind missing busara zako mkuu, umekuwa kimya sana broda...!, kupita tu na kutoa 'thanks' hakutoshi, wat's up?, kitabu au? (ndo kikubane hku tuu kwenye u-Bluu?)?...
Tuwasiliane kwa PM, Super Mod wetu.
 
Tulikuwa tunaugulia maumivu, matokeo ya mechi za leo bila shaka yata2pa faraja murua kwa namna fulani. Na bila shaka ze bluz fans watarudi kwa spidi zote jukwaani.
 
TEAM NEWS: BLACKBURN ROVERS V CHELSEA


Salomon Kalou is back in the starting line-up and will play on the left of an attack with Didier Drogba and Nicolas Anelka.
Michael Ballack is out injured so Florent Malouda drops deeper into midfield with Frank Lampard moving to the right. Paulo Ferreira replaces Yury Zhirkov at left-back and Ross Turnbull starts his third game in a row in goal.
Jan Sebek, a 19-year-old Czech goalkeeper from the reserve team squad, is on the bench for the first time.
Blackburn make two changes in defence, Phil Jones coming in at centre-back and Martin Olsson dropping from midfield to left-back. El-Hadji Diouf comes in wide on the right of midfield.
Chelsea are expected to line up in the following 4-3-2-1 formation:
22 Ross Turnbull
2 Branislav Ivanovic
33 Alex
26 John Terry (c)
19 Paulo Ferreira
8 Frank Lampard
12 John Mikel Obi
15 Florent Malouda
39 Nicolas Anelka
21 Salomon Kalou
11 Didier Drogba
Substitutes: 50 Jan Sebek, 43 Jefrrey Bruma, 18 Yury Zhirkov, 24 Nemanja Matic, 10 Joe Cole, 20 Deco, 23 Daniel Sturridge.
Blackburn are expected to line up in the following 4-5-1 formation:
Brown; Salgado, Samba (c), Jones, Olsson; Diouf, Dunn, N'Zonzi, Andrews, Pedersen; Kalinić.
Substitutes: Bunn, Jacobsen, Chimbonda, Hoilett, Linganzi, Emerton, Roberts.
The referee is Steve Bennett
 
Elnino vipi mambo magumu nini naona upo kwa siri tu? Wacha kuchungulia ingia hapa dimbani tukuone kama una moyo wa paka?
 
siku ya leo itakuwa nzuri kama chelsea wakifungwa but i cant see that happening...
 
Chelsea 1 - 0 Blackburn Drog the Bar ... .. after 5 minutes
 
wanaume wanapambana hao....hamna kulialia full blood challenges!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom