Chelsea imekukosea nini? Unaleta gazeti lenye tarehe 26 mwezi wa kumi 2010, huyo mwandishi yuko sayari ya wapi, au mimi ndo sijui may this is 2011 or something? umeandika mwenyewe nini?? Alafu linatabiri kama sheikh Yahya!! Soma na hii hapa alafu ujue lipi la kweli
http://news.bbc.co.uk/1/hi/8434698.stm
Hapa suala ni kuwa hii habari imeandikwa October 26, 2010 maana yake ni ya kizushi kwani bado tuna miezi saba kufikia hiyo tarehe.jingoist![]()
jingoist has no status.
Junior Member
Posts: 2
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Unafahamu maana ya kuwa blacklisted na credit agency?
Hapa suala ni kuwa hii habari imeandikwa October 26, 2010 maana yake ni ya kizushi kwani bado tuna miezi saba kufikia hiyo tarehe.
mnachezea kichapo tu... Karibu tu mana misibani hakuna kuomba kulia ww lia tu tutajua unaundugu na wafiwa!!🙂
leo je wadau niaje? naomba kujiunga katika thread hii
Mnachezea kichapo tu.......