Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kunani mbona page inagoma kufunguka ktk page 333?
 
duh!!!poleni chelsea lakini ndio furaha yetu man utd
 
blackburn_1009593a.jpg


Khe khe khe vipi nyie jamaa mbona mna viroja sana? Mnagombea fourth place nini? Avram Grant anawasubiri ....
 
without Ashley cole, Essien and Bosingwa its not chelseafc i know...

we accept the defeat at the the top of the table - let us see the next two games ahead.
 
Naona Masanilo kaamua kutokomea jumla na kulitelekeza jukwaa jumla...Haya ndo matatizo ya kuzoea vya kunyongwa............
 
Msanilo vipi mpwa? Kunani Chelsii? Mcheka mwisho ucheka saaaaaaaaaana
 
Didier_Drogba_682x_1009669a.jpg

Drog the Bar .... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeee


diouf_main_585_699714a.jpg

You never know whats around the corner, khe khe khe khekheeeee
 
We shall see mpaka mwisho wa hii vita....a slip is not a fall...!

Chelsea always!
 
We shall see mpaka mwisho wa hii vita....a slip is not a fall...!

Chelsea always!
 
Naona Masanilo kaamua kutokomea jumla na kulitelekeza jukwaa jumla...Haya ndo matatizo ya kuzoea vya kunyongwa............
Ndio maana kwa watu wasio taka pressure na nini wameamua kuwa wapenzi wa mpira tu and not supporting any club japokuwa upati sana ile ladha.Bcoz Kila siku roho inauma mara umezima simu after match wakati wenzio mpira uukiisha wanakula kuku na bata.
 
tulisema kwamba tunaomba misuko suko yenu ya champions league muilete kwenye premier league na kweli kitu kimekubali sio.

masanilo ,rev.kishoka ,peasant na wengineo njooni mjitetee .pape yumo humu baada kufungwa goli lakusawazisha akakorofisha jf hili tusiweke comments humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom