Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,487
- 86
villa wamedefend vyema sana, manake chelsiki ukuwapa mwanya wa kuingia ktk 18 yako ni wabaya ohoooo!Dah kapiga nduki mbaya hata kipa kaifwata lakini kaogopa kuucheza vyema!! Half time now vijana wa Villa park wakirudi natumai wataonesha mabadiliko