Da jamaa Sijui cross zake hivyo sanaMimi na Ivanovic tu, Hivi hawezi kabisa kupiga cross zikafika![]()
Tulia bandugu, Klopp anaingiza sindano yenye dawa ya kuiponya Chelsea. Usikate tamaa mapema. Itisha Enzo na Ntuzu mfanye maombi. Mna dakika 50 za maombi lakini kwa hii mziki wa majogoo ya Malafyale na jinsi ambavo mnacheza, nategemea Sturridge ataweka bao moja au mbili ili kuweka spices kwenye mboga.Zouma apone mapema, Cahill bado Hana maamuzi sahihi
Mkuu nimeupenda huu mchanganuo wako...leo hilo daraja tunalivunjavunja kabisa!!!Tulia bandugu, Klopp anaingiza sindano yenye dawa ya kuiponya Chelsea. Usikate tamaa mapema. Itisha Enzo na Ntuzu mfanye maombi. Mna dakika 50 za maombi lakini kwa hii mziki wa majogoo ya Malafyale na jinsi ambavo mnacheza, nategemea Sturridge ataweka bao moja au mbili ili kuweka spices kwenye mboga.
Una la kuongeza?Unaongea km hjui mpra heb ongea kw fact...mpra haup hv unchezwa uwnjan na sio mdomon.. km nd hvo mou angkua bgwa wa epl