Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu za London msimu huu ni mdebwedo
Week ijayo Arsenal anampiga Chelsea kiurahisi tu
Hadi Conte atakapo acha mambo ya Mourihno
Hampendi Fabrigas kwa sababu zake tu sio soka
Fabrigas inabidi aanze na Ngolo

Ntuzu
kalou
Mentor kwema hapa?
Ndiyo soka jamani,kuna kufungwa na kushinda!
Bado HAMYAHESHIMU MAJOGOO?
 
Da tumefungwa Sawa poor performance kipindi cha kwanza nachojua costa angekuwa sumu Sana kama kocha atampenda Fabry
 
Wewe nikija kwako mwezi ujao tarehe 17 nakupiga kama mwanangu tu!
Bailley na Smalling ndiyo wa kumkaba Mane?
Punguza utani bana
Karibu sana
Ila kuwa makini maana tutawanyonya damu.
man u moto wa kifuu ukiwaka umewaka.
 
Mtu mbaya wewe! Huna huruma hata kidogo,.. Tupigwe zaidi ya mwaka jana!!?.. Mmh! Haya....
Teh Teh Teh tena nataka nianze maombi ya kufunga kabisa. Yaani mfungwe mpaka mjiuzulu muombe mapumziko ya msimu mmoja.
 
Mashabiki wa Blauz acheni upupu kwanini mkifungwa mtu akipost picha za mechi mnareport zifutwe?
Mbona kwetu hatuna mambo ya kibwege
Acheni ushabiki maandazi au kuna Moderator shabiki wenu

NATUMA TENA

 
FB_IMG_14740596593182442.jpeg
FB_IMG_14740596540350692.jpeg
FB_IMG_14740596482661062.jpeg
FB_IMG_14740596371918379.jpeg
FB_IMG_14740596251397902.jpeg
IMG_20160916_225147.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom