Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

2300.jpg

Costa, who me?
 
Samahani namtafuta jamaa yangu nimepotezana nae kitambo sana anaitwa Ntuzu
 
Kweli walicheza Vizuri, tatizo wanapoteza magoli ya wazi.. Cahil anataka kujiamini kupita kiasi
The Blues for good life
 
Costa kaniua na lile goli la pili dhidi ya Swansea... Ni balaa. Team imeanza kunipa rahaa...
 
Timu inacheza vizuri sana na spirit ya kutafuta ushindi ni kubwa pia ila tatizo ni kwamba accuracy ya ku-convert goals into net ni ndogo kulinganisha na idadi kubwa ya chances timu inazopata. Hicho ndicho kimei-cost timu jana hadi kukosa ushindi!
 
Baada ya game 6 zijazo rudi kuisoma hii comment uliyoandika.
 
Mkuu naona saizi umezamia/potelea kwenye jukwaa la siasa mada za zanzibar.
Nando, Unaleta fyokofyoko?
Zanzibar ni nchi? Tanganyika ni mkoa?
Unajisikia kupayuka, jisogeze jukwaa la siasa. Hapa ni kandanda tu. Tunafyatua kauli za mpira na majeruhi wa kabumbu.
 
Sawa mwana-asenali
Babu amenunua wachezaji kwa ajili ya kuishugulikia Ze bluuz tu. Kaeni mkao wa kuliwa. Na Costa akicheza siku hiyo anakula red akifanya uhuni aliofanya kwa Swansea.

Lakini kwa nini mwana-asenali? na sio Hull?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom