Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tulia bandugu, Klopp anaingiza sindano yenye dawa ya kuiponya Chelsea. Usikate tamaa mapema. Itisha Enzo na Ntuzu mfanye maombi. Mna dakika 50 za maombi lakini kwa hii mziki wa majogoo ya Malafyale na jinsi ambavo mnacheza, nategemea Sturridge ataweka bao moja au mbili ili kuweka spices kwenye mboga.
Teams zitakazo wania ubingwa na CL spot ni
Man City
Man U
Majogoo
Arsenal
Totenham

Wengine mjipange tu kwa msimu wa 2017-18
 
Jamani za saa hizi?
Ndiyo soka tusinuniane bali tuvumiliane!Soka Ndiyo lilivyo kuja kushinda na kushinda!

NANI sasa hayaogopi Majogoo?
 
Conte anatumia akil gan kumuweka fab nje nakumchezesha matic
Conte alisikia kilio chako na alikuletea chaguo lako, aliwaingiza watatu kwa mpigo, rakini siku ya kufa nyani, miti yote inakuwa na miba, unapokamata, unadungwa mwiba.
 
Sawa... Wazee wa Big Match wameshinda Leo... Still juu Yao lakini
 
Diego Costaaaaaa!!
Liv 2
Che 1
Hongeleni kwa kuludisha bao moja. Nimeona Majogoo ya Malafyale yameanza kumegua daraja, yule amedonoa hapa, yule amedonoa pale na kuliacha daraja "bovu" la Ntuzu na nyufa.

Kocha mafia, mmiliki wa timu mafia, ukichanganya hao unapata mafiaso. Mafiaso club. Conte ameshakusanya "betting sum" yake anawaacha Kalou.re, Mentor.e,Enzo.re, Ntuzu.re, Nando.re na maumivu makali.

Nilitamani kucheka, lakini niliishia kutokwa na machozi kama mtoto wa mkulima, Pinda bungeni.

 
Bingwa Europa League ana-qualify moja kwa moja kucheza UEFA Champs kwenye makundi. Siku hizi ligi kuu England hakuna timu yenye uhakika kumaliza ligi ikiwa ndani ya top 4!
Umesahau au wewe ni mpya?
Timu ya "suspension", timu ya babu(Wenger out/ Wenger in?) ina hati miliki ya moja kati ya nafasi 4.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom