castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,793
- 3,212
Diego costa like him or hate him but u cant ignore him
Costa a.k.a KUBWA LA MAADUIBabu amenunua wachezaji kwa ajili ya kuishugulikia Ze bluuz tu. Kaeni mkao wa kuliwa. Na Costa akicheza siku hiyo anakula red akifanya uhuni aliofanya kwa Swansea.
Lakini kwa nini mwana-asenali? na sio Hull?
we arsenal yako mbovu tu.Aione: cc Dogo mpayukaji, mnazi wa Ze bluuuz, Enzo.
Umeshanifukuza mwana-chelsea mwenza?we arsenal yako mbovu tu.
Mkuu, nadhani unataka nifute kauli yangu!Baada ya game 6 zijazo rudi kuisoma hii comment uliyoandika.
Ze bluuz siku zote inacheza vizuri hata pale inapofungwa. Sitaki ufute kauli na inawezekana msimu huu Chelsea kugombania moja ya nafasi za Europa League. Mou wa Man. United anapenda Europa League msimu huu, anasema haya sio tena mashindano madogo na ya kuyaapuuza. Anataka kushinda Europa L.Mkuu, nadhani unataka nifute kauli yangu!
Hilo unalowaza pia laweza kutokea ingawa siwezi kubatilisha kauli yangu. Currently timu inacheza vizuri, tomorrow nobody knows!
Bingwa Europa League ana-qualify moja kwa moja kucheza UEFA Champs kwenye makundi. Siku hizi ligi kuu England hakuna timu yenye uhakika kumaliza ligi ikiwa ndani ya top 4!Ze bluuz siku zote inacheza vizuri hata pale inapofungwa. Sitaki ufute kauli na inawezekana msimu huu Chelsea kugombania moja ya nafasi za Europa League. Mou wa Man. United anapenda Europa League msimu huu, anasema haya sio tena mashindano madogo na ya kuyaapuuza. Anataka kushinda Europa L.
Port mpira ukiisha utanipa fair playJamani baada ya GAME ya leo tuendelee kusalimiana
Mana najua MAJOGOO yanampiga mtu Darajani muda mchache ujao
Maneeeeeeeeee is getting better and better
Huwa nikisikia hiyo kauli nakuja kwenye TV najua Mane kaisha fanya yake
Nakupiga hapo hapo kwako kikoloPort mpira ukiisha utanipa fair play
Nikipigwa na jogoo ujue msimu huu nipo nafasi ya mourinho kumi na tano hahaaaaaaaNakupiga hapo hapo kwako kikolo
Ngokopinya komywako
Nani sasa hayaogopi Majogoo?
Bingwa ni ama Liverpool na Man CityNikipigwa na jogoo ujue msimu huu nipo nafasi ya mourinho kumi na tano hahaaaaaaa
Unaongea km hjui mpra heb ongea kw fact...mpra haup hv unchezwa uwnjan na sio mdomon.. km nd hvo mou angkua bgwa wa eplBingwa ni ama Liverpool na Man City
mshindi wa tatu na nne ni Arsenal,Totenham na Man U
Mshindi wa 6 na 7 kucheza Europa ni ama Chelsea,Southampton na Palace
Hii tarehe 01/10/2016 kwangu itakua na furaha mnoooo.. Huku nakata mikia na huku najipigia Hull.....Katika pitapita yangu
![]()