Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Thnx!hongereni wakuu.
Zamu yenu sasa!
Thnx!hongereni wakuu.
Pape, Peasant na wengine wote thx kwa updates tuendelee na burudani ya Tusker baridi kama Kigogo anavyoburudika mida hii.Thnx!
Zamu yenu sasa!
poa poa! mi chai tu inatosha! sina makuu!Pape, Peasant na wengine wote thx kwa updates tuendelee na burudani ya Tusker baridi kama Kigogo anavyoburudika mida hii.
hapo sasa nimekuelewa asante mkuu,mie huwa sina noma mpira lugha yoyote powa tu kama huo ndio uwezouliopo.saa nyingine wakinikera wachina nazima sauti kabisa lool.Sina hakika kama umemwelewa Pape, anamaanisha lugha iliyotumiwa kwenye hizo clips, nafikiri ni Kichina! Hata mimi kimenitoa baruti.
yaap tutandaze kandanda sasa.Thnx!
Zamu yenu sasa!
mkuu kama vipi utuwekee clips!yaap tutandaze kandanda sasa.
Thnx! Hivyo ndivyo inatakiwa, sio unalilia kupongezwa wewe tu!...lolHongereni Wakuu naona Masanilo atakuwa kishashuka Pub kukamata moja moto moja baridi kusherehekea ushindi. Bado tunakula sahani moja nanyi mpaka kieleweke.
Mkuu Mbu hapo kwenye nyekundu laweza kuwa jibu ingawa leo amenitisha sana maana kakubali goli la mbali sana.Ila ushindi itakuwa lazima bila kujali nani yupo langoni kwetu....kuuuliza si ujinga,
hivi jumanne mtamchezesha nani pale golini maana naskia 'Cheque' majeruhi, 'Hillarious' majeruhi, ila kama nimesikia jina Turnbull?
huyu ni kijukuu cha aliyekuwa gavana wetu Tanganyika nini?
kwa 'Domicile' status anafaa kwa Maximo, ngoja tum evaluate na Inter ya "the special one" J'4!!! 😀
"Jose Mourinho ahead of Inter's Champions League second leg at Chelsea: "Everybody knows Mourinho doesn't lose at Stamford Bridge. My record is unbeatable. It is amazing - we were so strong for such a long time."
ED (Early Doors) feels an overwhelming urge to tack some Mike Tyson on to the end of that: "(Carlo Ancelotti), I'm coming for you man. My style is impetuous. My defense is impregnable, and I'm just ferocious. I want your heart. I want to eat his children.
Watani wa darajani check hii ya Jose
Jose Mourinho ahead of Inter's Champions League second leg at Chelsea: "Everybody knows Mourinho doesn't lose at Stamford Bridge. My record is unbeatable. It is amazing - we were so strong for such a long time."
ED (Early Doors) feels an overwhelming urge to tack some Mike Tyson on to the end of that: "(Carlo Ancelotti), I'm coming for you man. My style is impetuous. My defense is impregnable, and I'm just ferocious. I want your heart. I want to eat his children.
QUOTE OF THE WEEKEND: "
He proved his words.Inter boss Jose Mourinho taunts Chelsea chief Carlo Ancelotti
Stamford Bridge is my fortress not yours
![]()
![]()
Talking a good game:
Mourinho will take his Inter side to Stamford Bridge with ... .... :
![]()
This man ... ... Esterban Cambiasso ... ... the cam belter.
Kulikuwa na system upgrade as usual ngoja waje kina Wacha nasikitika tena hatutamuona Masanilo kwa muda wa wiki nzimaChel you are real sick...poleni.
Pole Inv, pole Ab, poleni Chelsick wote, get well soon!