Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
pape lete clip ya goli la drogba basi mkuu.lol
nitakupa mwishoni kaka! nilikuwa nje kdg nikalimiss!pape lete clip ya goli la drogba basi mkuu.lol
yeye mwenyewe anajua kwamba mnahitaji sana ndio maana kamueka carlton cole nje pamoja na diamanti lol.Sorry Zola, we needed three points for our push for the title. I wish you win all the remaining matches.
i hope you enjoyed the clips! ila najua hiyo lugha imekutoa baruti! kaka sisi tumeshaizoea!hongereni wakuu.
yeye mwenyewe anajua kwamba mnahitaji sana ndio maana kamueka carlton cole nje pamoja na diamanti lol.
Sorry Zola, we needed three points for our push for the title. I wish you win all the remaining matches.
hakuna lugha yoyote ilionitoa baruti kwani unafikiri nilikuwa nategemea mtafungwa leo? mwambie masanilo harudi sasa matanga yameisha.i hope you enjoyed the clips! ila najua hiyo lugha imekutoa baruti! kaka sisi tumeshaizoea!
Safi Pape, hii itatusaidia kwa wale the Blues ambao hawakupata muda/access ya kuona game wachumgulie hapa jamvini. Keep it up for the rest of the season.i hope you enjoyed the clips! ila najua hiyo lugha imekutoa baruti! kaka sisi tumeshaizoea!
Sina hakika kama umemwelewa Pape, anamaanisha lugha iliyotumiwa kwenye hizo clips, nafikiri ni Kichina! Hata mimi kimenitoa baruti.hakuna lugha yoyote ilionitoa baruti kwani unafikiri nilikuwa nategemea mtafungwa leo? mwambie masanilo harudi sasa matanga yameisha.
asante kwa clips mkuu.
teh teh teh eh!hakuna lugha yoyote ilionitoa baruti kwani unafikiri nilikuwa nategemea mtafungwa leo? mwambie masanilo harudi sasa matanga yameisha.
asante kwa clips mkuu.
mmmmmmmmmh....Keep it up for the rest of the season.