ELNIN0
JF-Expert Member
- Nov 26, 2009
- 4,205
- 1,576
JT - unaongoza kwa mifano -
- Kitendo cha kuvuliwa u captain - na perfomance yako katika game ya Misri ni super - inaonyesha huna kinyongo na unalitumikia taifa lako kwa moyo wako wote - huteteleki.
- Jana umenifurahisha sana njisi ulivyo shangilia goli lako - ulionyesha mkono kuwaambia watu upo strong na wasichanganye personal issues zako na mambo ya uwanjani - ukiwa uwanjani kazi ni moja tu kuwangoza vijana wako wa darajani.
Huu ni mfano mzuri - yamepita hayo - mwendo mdundo - thanks JT - We believe in you Mr Chelsea.
http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/sport/football/2882431/Terry-Listen-to-the-band.html