Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Belo na Nzi et la nataka kuona kama mtaendelea kutompenda Maureen akija Old Trafford. Najua na nakubali alipokuwa darajani mlikuwa mnampinga kwa tabia zake na uchezeshaji wake, sasa yupo njiani kutua kwenu nina uhakika kuna siku nitawaona mkibeba bango la "Mourinho for life" hususani itakapokuja mechi za Arsenal vs Man Utd. Ni hilo tu.
Chifu, si nimeweka msimamo wangu kwenye ile post? Kwa staili yake ya ukocha, nitaendelea kutomkubali hata akiwa Man Utd.
 
hizi tactics za conte kwenye game ya jana dhidi ya Belgium..wanaowaita sijui kizazi cha dhahabu!! Chelsea tumepata bonge la kocha honestly... shikamoo conte
 
Huu mfumo 3-5-2 utafanya kazi kama ataleta mabeki wa kazi sio hawa wakina Ivanovic na wenzie tutalia kila siku

Na 3-5-2 Sio mfumo wa kucheza kwenye ligi yenye kasi kama EPL,BR na LVG walijaribu wakachemsha,unafaa sana kwenye mashindano ya muda mfupi ndio maana LVG alifanya vizuri World Cup ya Brazil
 
Huu mfumo 3-5-2 utafanya kazi kama ataleta mabeki wa kazi sio hawa wakina Ivanovic na wenzie tutalia kila siku
naamin conte ana plan yake ya usajili..na ameshaona madhaifu yote ya kikosi chetu..niamn huyu mtu ni sahihi kwenye timu yetu.. pengine kuliko hata moo
 
hizi tactics za conte kwenye game ya jana dhidi ya Belgium..wanaowaita sijui kizazi cha dhahabu!! Chelsea tumepata bonge la kocha honestly... shikamoo conte

Mnajua ligi ni tofauti sana na Cup games? Huwezi kucheza hivi kwa mechi 38... Subirini mtajua muda si mrefu.
 
Mnajua ligi ni tofauti sana na Cup games? Huwezi kucheza hivi kwa mechi 38... Subirini mtajua muda si mrefu.
conte ni winner! anajua ways za kuwa bingwa....nilizungumzia kuhusu tactics zake...kwasababu dunia ya football ya kizaz hiki inaamini kuwa Belgium ndiyo nchi inayotoa vipaji bora Europe... sasa kama conte ameweza kuidhibiti timu ya aina ya wachezaji Belgium..atashindwa vp kutengeneza game plan ya kuiua Man utd au Arsenal
 
1465911736354.jpg
kwanza nina furaha na team yangu ya italy kama wakiendelea kucheza vile hakika euro 2016 ni ya kwao
Jana walikua watamu kama mcharo hasa ukuta ulioongoza na chielini na bonuchi hatari sana
Hapa niliziona pia mbinu za coach wangu mpya wa chelsea ila hii 3 5 2 inatakiwa tuwe na beki za kati za maana 4 na 5 na beki namba 2 wa kazi la sivyo hizi mbinu hazitafua dafu pale uingereza
Hongera italy
Hongera conte
 
conte ni winner! anajua ways za kuwa bingwa....nilizungumzia kuhusu tactics zake...kwasababu dunia ya football ya kizaz hiki inaamini kuwa Belgium ndiyo nchi inayotoa vipaji bora Europe... sasa kama conte ameweza kuidhibiti timu ya aina ya wachezaji Belgium..atashindwa vp kutengeneza game plan ya kuiua Man utd au Arsenal

hao mbona wanafungika tu hata tukiwa wachezaji 9 uwanjani" ........... haiitaji hat game plan!
 
Mkuu kwani conte hajui league maana yake ninini? Amewahi kua coach wa juve kwa mafanikio makubwa tu
Serie A siku hizi imekuwa nyanya,timu nyingi kongwe (AC Milan,Inter,AS Roma) zimekuwa vibonde mno kule hata Wenger akienda now atabeba ubingwa
 
Serie A siku hizi imekuwa nyanya,timu nyingi kongwe (AC Milan,Inter,AS Roma) zimekuwa vibonde mno kule hata Wenger akienda now atabeba ubingwa
huyo domokaya wenu alipakimbia ............
 
Serie A siku hizi imekuwa nyanya,timu nyingi kongwe (AC Milan,Inter,AS Roma) zimekuwa vibonde mno kule hata Wenger akienda now atabeba ubingwa
Acha kukariri na vp khs team kongwe pake EPL km liverpool, man untd mbona nazo zmeshakuwa nyanya?
Kuhusu Conte na kwa kuangalia mechi ya juzi tuu, anaonekana ni kocha mzuri sana kutokana na team ya Italy kuwa na mchezo wa kuvutia.
Msimu ujao Chelsea The Blueees itakuwa na mchezo wa kuvutia sana according to Conte philosophy ya mchezo uwanjan.
NAOMBA NIWASILISHE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom