Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,914
- 10,273
Man United,Liverpool zimekuwa nyanya lakini Man City,Spurs wameimprove recently lini umesikia AC Milan au Inter wamecheza michuano ya Ulaya .Maxi Allegri alipata tabu Milan ameenda Juventus ameshinda double (Serie A+Coppa Italia) back to back .Antonio Conte ni moja ya makocha bora vijana na ndio mara ya kwanza atafundisha nje ya Italy EPL ya siku hizi imekuwa ngumu mno,kazi haitakuwa rahisi kama unavyofikiriAcha kukariri na vp khs team kongwe pake EPL km liverpool, man untd mbona nazo zmeshakuwa nyanya?
Kuhusu Conte na kwa kuangalia mechi ya juzi tuu, anaonekana ni kocha mzuri sana kutokana na team ya Italy kuwa na mchezo wa kuvutia.
Msimu ujao Chelsea The Blueees itakuwa na mchezo wa kuvutia sana according to Conte philosophy ya mchezo uwanjan.
NAOMBA NIWASILISHE