Nani aliyeruhus kupigwa kwa klosiuzembe wa mikel .............
Nani aliyeruhus kupigwa kwa klosiuzembe wa mikel .............
Shida nini?Chelsea imesitisha mkataba na kampuni ya vifaa vya michezo Adidas
tatizo sio cross ameruhusu nani, tatizo ni mikel alikwepo wakat goli linafungwa na alikwepo peke yake tu anashangaa wakat benteke yupo peke yake ............. angalia marudio utaona nachokisema.Nani aliyeruhus kupigwa kwa klosi
Next season jiraniNgoja tu nikope kamsemo ka washika binduki.. "Next season " tutarudi vizuri

Hah ... Ndo hivyo tena jiraniNext season jirani![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mtaanzia wapi?Hivi wanabluez next season hata europa tunacheza kweli?
Hadi huruma, poleniHatutacheza na timu yetu ya watoto walikuwa mabingwa nao hawatacheza sababu sisi hatujapita
hatutacheza mkuu , carling cup na fa cup zinatuhusu msimu ujaoHivi wanabluez next season hata europa tunacheza kweli?
Msimu ujao makombe yote matatu yanabaki kwetu: Premier League, Capital One Cup na FA cup.