MICHY BATSHUAY
huyu ndiyo mkongoman mpya anayekuja kurithi mikoba ya Drogba darajani!!
Michy batshuayi
Witsel ni suala la muda tu kutangazwa everton![]()
Wote chelsea inawataka nainggolani na witsel
Yani hapo Nainngolan tu huyo Axel Witsel na Mikel wanatofautiana umri tu.![]()
Wote chelsea inawataka nainggolani na witsel
Dili la Naingolan kama limebuma vile ndomaana wanamfukuzia WitselYani hapo Nainngolan tu huyo Axel Witsel na Mikel wanatofautiana umri tu.
Wawaache wote kama Naingollan imebuma!Dili la Naingolan kama limebuma vile ndomaana wanamfukuzia Witsel
Conte asije kuwa kama Van Gaal. Timu ya taifa bomba lakini kilabu kimeo!