Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
hahahhahaaaa msije tu kuzidi poromoko... kila la heriMsimu ujao makombe yote matatu yanabaki kwetu: Premier League, Capital One Cup na FA cup.
hahahhahaaaa msije tu kuzidi poromoko... kila la heriMsimu ujao makombe yote matatu yanabaki kwetu: Premier League, Capital One Cup na FA cup.
Tutarudi kwa kishindo kama goboleNgoja tu nikope kamsemo ka washika binduki.. "Next season " tutarudi vizuri
hhahaaa ENZO najua msimu ujao utakimbia tena humuHongera na nyie kwa kushika nafasi 8, na kwa kubeba EUROPA ............
hhahaaa ENZO najua msimu ujao utakimbia tena humuHongera na nyie kwa kushika nafasi 8, na kwa kubeba EUROPA ............
sawa mkuu tusubiri tu sina nenoSisi ni chama kubwa... #goConte
First Terry amerenew mkataba...
All our good players are staying...
Kwani Mo alikuwa bado bridge?Nasikia msiba mwingine umeingia nyumba hii, Mourinho to Manchester United.
Kwani Mo alikuwa bado bridge?
Manchester United sio wapinzani wa ChelseaKuhamia timu pinzani baada ya kutimuliwa kwa timu aliyodai ni kipenzi chake cha 1 ni sawa na msiba
Manchester United sio wapinzani wa Chelsea
Post SAF Manchester United ni wapinzani wa timu gani na Chelsea ni wapinzani wa timu gani ?
Ingekuwa katoka Liverpool kwenda Man United,au kutoka Arsenal kwenda Spurs.Siku hizi pesa kwanza mengine baadae baada ya kufukuzwa Chelsea ulitegemea Mourinho afundishe Everton ?
Chifu, sijawahi kuwa shabiki wa Maureen kama kocha wa soka, na hilo halitobadilika hata kama akija Man Utd. Labda abadili staili yake ya ufundishaji na kufuata falsafa ya Man Utd katika staili ya mchezo na ku-nurture wachezaji chipukizi.Naona umeanza kumpenda Maureen. Miezi 7 iliyopita ulikuwa unampiga madongo. Time changes everything. Nasubiri nisikie Nzi atakavyosema juu ya Maureen kocha mbabaishaji
Sidhani kama kuna makocha ntakaowapenda kama nilivyowapenda Sir Alex Ferguson na Carlo AncelottiNaona umeanza kumpenda Maureen. Miezi 7 iliyopita ulikuwa unampiga madongo. Time changes everything. Nasubiri nisikie Nzi atakavyosema juu ya Maureen kocha mbabaishaji
Chifu, sijawahi kuwa shabiki wa Maureen kama kocha wa soka, na hilo halitobadilika hata kama akija Man Utd. Labda abadili staili yake ya ufundishaji na kufuata falsafa ya Man Utd katika staili ya mchezo na ku-nurture wachezaji chipukizi.