JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Hili ndio tatizo la kuimagine sana....
Hili ndio tatizo la kuimagine sana....
Hahahaaaaa unaonesha kiasi gani umeshawatoa arsenal mpaka useme tukutane na baca.
khalfanshaban@gmail.com
Braza Europa gani hiyo unayoiongelea?
mazishi yamefanyika leo ktk makaburi ya Darajani huko London...habari ziwafikie, Mzee Ndenshau wa Mbokomu Kilimanjaro, mzee Lyamuya wa Mkuu Mashati Kilimanjaro, Mzee Pantaleo wa Kilema Kilimanjaro, Bibi Aika Kundaeli wa Naibili Sanyajuu Kilimanjaro, mchungaji Ndesario wa KKKT dayosisi ya Kaskazini kigango cha Kirua Vunjo Kilimanjaro na washabiki woote wa Chelsea hapa nchini.
Hebu waambie bhana hawa ze brauzi,,, muzee wa latino kureee kwa kina gatuso
Mkuu, upo?wewe subiri mda haudanganyi
Sisi na wewe nani alikuwa anaota?asante mkuu kuna watu humu wanaota ndoto eti chelsea anatoka hawajui kwamba chelsea ni habari nyingine