PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
Kipa wenu namba moja yani Kipa wa CHELSEA kafungwa na MESSINdugu messi hajawahi kuifunga goal chelsea japo wamekutana mara kibao huyo cech ni wa arsenal sio chelsea
Kipa wenu namba moja yani Kipa wa CHELSEA kafungwa na MESSINdugu messi hajawahi kuifunga goal chelsea japo wamekutana mara kibao huyo cech ni wa arsenal sio chelsea
hivi umesahau samaki mmoja akioza wote wameozaNdugu messi hajawahi kuifunga goal chelsea japo wamekutana mara kibao huyo cech ni wa arsenal sio chelsea

Chelsea haina kipa anaeitwa cech huyo yuko arsenal nazungumzia chelsea kama chelsea pamoja na mbwmbwe zote za mesi bado kuna timu hajaifunga goal . hicho ndio anamiss messi allwaysKipa wenu namba moja yani Kipa wa CHELSEA kafungwa na MESSI
Hatuna samaki anaitwa cech bali tuna team inaitwa chelseahivi umesahau samaki mmoja akioza wote wameoza![]()
![]()
na yule kipa wenu namba 1 ni perege au yule CourtoisHatuna samaki anaitwa cech bali tuna team inaitwa chelsea
Nipe matokeo ya Barcelona na Chelsea mara ya mwisho kukutana ilikuwaje?hivi nyie NEW TEAM(yokobus) mna matatzo gani?? HIVI NYIE MNAUPINZANI GANI KWA BARCELONA sasa ngoja nikwambie na kwa faida ya THE BLAUZ wenzako ni kuwa mpinzani wa BARCELONA england yote ni Notingham Forest pekee huyo chelsea akae kimya kabisaaa sababu ashapigwa 5:0 kama hyo haitoshi karne hii ya 21 akapigwa tena 5:1 sasa upinzani utokee wapi kwa THE BLAUZ
2:2Nipe matokeo ya Barcelona na Chelsea mara ya mwisho kukutana ilikuwaje?
2:2 acha porojo mkuuMatokeo ya mwisho baina ya chelsea na basalona ilikua ni nusu finaly stamford barcelona alilala 1 kwa bila na kule kwao ilikua sare 2-2 so tuliwatoa kwa 3-2
We ndio uache porojo hiyo ilikua 20122:2 acha porojo mkuu
Nitake radhi mkuu, niko barca ila kiukweli huwa tukikutana na Chelsea mambo huwa magumuhivi nyie NEW TEAM(yokobus) mna matatzo gani?? HIVI NYIE MNAUPINZANI GANI KWA BARCELONA sasa ngoja nikwambie na kwa faida ya THE BLAUZ wenzako ni kuwa mpinzani wa BARCELONA england yote ni Notingham Forest pekee huyo chelsea akae kimya kabisaaa sababu ashapigwa 5:0 kama hyo haitoshi karne hii ya 21 akapigwa tena 5:1 sasa upinzani utokee wapi kwa THE BLAUZ
Ogwa kokaja papo fiki olipo kwa team bhikuipinya bhwila bhwila?Isaga ko Liverfool!Anasema chelsea sio mpinzani wa barcelona ameanza mpira kuangalia jana hana uhakika na anacho kizungumzia mimi barca naijua tokea 1994 je yeye alikua anangalia mpira wapi miaka hiyo kibanda gani anitajie
Hakuna mwanamke anayeweza watumikia mabwana wawili kwa mujibu wa bibleNitake radhi mkuu, niko barca ila kiukweli huwa tukikutana na Chelsea mambo huwa magumu
ulikuwa unaijua kivip toka huo mwaka na huo mwaka 1994 had 2000 CHELSEA ilitwaa makombe mangapi??Anasema chelsea sio mpinzani wa barcelona ameanza mpira kuangalia jana hana uhakika na anacho kizungumzia mimi barca naijua tokea 1994 je yeye alikua anangalia mpira wapi miaka hiyo kibanda gani anitajie
Kuwa muelewa basi mkuu, sishabikii Chelsea, ila naitambua kama ni mpinzani mkali wa Barcelona kwa siku za karibuni, yaani Barca anaweza kuwa vizuri ila akikutana na Chelsea huwa panachimbikaHakuna mwanamke anayeweza watumikia mabwana wawili kwa mujibu wa bible
1:nipe matokeo ya atletico vs barca mechi iliyopitaOgwa kokaja papo fiki olipo kwa team bhikuipinya bhwila bhwila?Isaga ko Liverfool!
Barca hii ya washambuliaji tu ndiyo wazuri lkn beki mbovu ingekutana na Chelsea hii hii Zouma na Terry wazima Barca angepigwa
Barca huyu hamtoi Atletico wala Bayern CL
Ogwa kokaja papo fiki olipo kwa team bhikuipinya bhwila bhwila?Isaga ko Liverfool!
Barca hii ya washambuliaji tu ndiyo wazuri lkn beki mbovu ingekutana na Chelsea hii hii Zouma na Terry wazima Barca angepigwa
Barca huyu hamtoi Atletico wala Bayern CL