Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa hali yetu ya tangu msimu umeanza , tumejitahidi hata hapa tulipofika. Tukubali ukweli timu yetu imechoka na haina jipya kwasasa maana hatuna hata mfungaji tegemeo
 
mazishi yamefanyika leo ktk makaburi ya Darajani huko London...habari ziwafikie, Mzee Ndenshau wa Mbokomu Kilimanjaro, mzee Lyamuya wa Mkuu Mashati Kilimanjaro, Mzee Pantaleo wa Kilema Kilimanjaro, Bibi Aika Kundaeli wa Naibili Sanyajuu Kilimanjaro, mchungaji Ndesario wa KKKT dayosisi ya Kaskazini kigango cha Kirua Vunjo Kilimanjaro na washabiki woote wa Chelsea hapa nchini.
Nimecheka sana hii
 
Poleni sana best zangu nipo nanyi katika kipindi hiki kigumu....karibuni duniani Ila sisi hatukufika kabisa Huko tuko mbingu ya nne tumetulia na Europa yetu pengine tunaweza kuwa Hata pale getini kwa Chief judge.
 
Afadhali sasa, maana Barcelona tunauhakika wa kuitetea ndoo

Mkuu sijakuelewa unavyosema Afadhali sasa! kwani brauzi amekua tishio kwetu (barchelona) mpaka umefikia kusema hivyo? kama psg kamdunda iweje bacas ashindwe kumpiga 5....ndiomaana chelsea fans wameshukuru kutolewa manake kule mbele kuna vidume otherwise wangedhalilika mno
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mpinzani wa kweli wa Barcelona ni Chelsea kwa siku za karibuni, hao wengine siwezi wahofia kabisa kama nilivyokuwa namhofia Chelsea

Jidanganye tu..chelsea kawa nani? Anavyofungwa na vitimu vidogo kule kwao, je ataweza kupambana na wanaume? Ndugu yangu spain leagues wanatumia akili uwanjani sio manguvu ka EPL...pale spain timu ya kufungwa na brauzi labda ile inayoshikilia mkia
 
Ha ha ha sawa mkuu but mark my words
 
Mpinzani wa kweli wa Barcelona ni Chelsea kwa siku za karibuni, hao wengine siwezi wahofia kabisa kama nilivyokuwa namhofia Chelsea
Tumewakimbia msije mkajisifu mmetufunga huyo mess alitamani sana kutufunga ila atakua amehuzunika sana chelsea kutoka maana ana ndoto za kuifunga chelsea
 
Tumewakimbia msije mkajisifu mmetufunga huyo mess alitamani sana kutufunga ila atakua amehuzunika sana chelsea kutoka maana ana ndoto za kuifunga chelsea
hapo ndipo ninaposhangaa Cech alikuwa kipa wa Chelsea na kafungwa na KING kama hyo haitoshi mimi ckuzote naamini anayefungwa golini ni kipa na wala sio terry wala zouma sasa Nyie chelsea mnataka mfungwe vp na MESSI wakati kipa wenu tena nambar moja ashafungwa na KING
 
Mpinzani wa kweli wa Barcelona ni Chelsea kwa siku za karibuni, hao wengine siwezi wahofia kabisa kama nilivyokuwa namhofia Chelsea
hivi nyie NEW TEAM(yokobus) mna matatzo gani?? HIVI NYIE MNAUPINZANI GANI KWA BARCELONA sasa ngoja nikwambie na kwa faida ya THE BLAUZ wenzako ni kuwa mpinzani wa BARCELONA england yote ni Notingham Forest pekee huyo chelsea akae kimya kabisaaa sababu ashapigwa 5:0 kama hyo haitoshi karne hii ya 21 akapigwa tena 5:1 sasa upinzani utokee wapi kwa THE BLAUZ
 
hapo ndipo ninaposhangaa Cech alikuwa kipa wa Chelsea na kafungwa na KING kama hyo haitoshi mimi ckuzote naamini anayefungwa golini ni kipa na wala sio terry wala zouma sasa Nyie chelsea mnataka mfungwe vp na MESSI wakati kipa wenu tena nambar moja ashafungwa na KING
Ndugu messi hajawahi kuifunga goal chelsea japo wamekutana mara kibao huyo cech ni wa arsenal sio chelsea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom