Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Umeona mafiaso nduguye abrahamovic(Ibrahimovic) ameshawasababishieni ajali. Ameangusha Tingatinga katikati ya Daraja, jamaa alim-beep kipa, kipa alisinzia. Sasa angalia swala wa Guus watakavyokimbia kimbia uwanjani.
Utaipenda utaipenda Chelsea na Costa utawapenda........
 
Kasi bandugu, sio kesi.
Vipi sindano moja tu,unaanza kupoteza fahamu?

Hahahaaa wananifurahisha hawa jamaa wanaposema eti baselena hawatuwezi, wamerudisha lkn muda s mref watapigwa tena lalahoi hawa
 
Chelsea hatoki hapa hata kwa miujiza..Hakuna game plan ya hivyo Kennedy atakua exposed Muda Sio mrefu
 
Utaipenda utaipenda Chelsea na Costa utawapenda........
Costa ana mpango wa kumpigisha mmoja wa PSG kadi nyekundu. Anajiangusha angusha bila sababu. Haya 45 zimeisha. Naiona Chelsea ikiingia mtegoni kiulaini kipindi cha lala salama.
 
Mikel is out of the game aisee...too slow to react i am not satisfied.

Hofu yangu sasa ni sub atakazofanya Hiddink. Ila Mikel anawachelewesha sana wenzake.

One goal and we are even..just one goal.
 
Costa ana mpango wa kumpigisha mmoja wa PSG kadi nyekundu. Anajiangusha angusha bila sababu. Haya 45 zimeisha. Naiona Chelsea ikiingia mtegoni kiulaini kipindi cha lala salama.
PSG wanacheza rafu sn km Hili li Mota hili lilikua lipate kadi ya pili ya njano nashangaa anapewa Faby
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom