Natumai umeona mhuni kama Costa ameshaifanya mbaya Ze bluuz.Daah. Sijui kitakachotokea hapa na kitu kutoka ndio sitaki kusikia kabisa
Umedharau, hukwenda kwa nyumba ya ibada kuomba waiombee Yokohama. Wewe huamini katika miujiza? Au zama za miujiza zimepita?Tukitahidi tuingie hata Europa msimu ujao maana ndo tumetoka tayari
Beki mbovu
Kipa nae falaaaa
Tutashinda tu mungu yupo upande wetu
Siku ingine uvae "zile" wanavaa watoto hutahitaji kwenda kusalimia mende.Misielewi kabisa yaani ni tabu tubu nasikia mkojo lakini nimeshindwa kunyanyuka
Magoli ma3......haiwezekani kamweTutashinda tu mungu yupo upande wetu
PSG wameenda kwa maganga wa jadi, voodooo. WEWE umedharau kumwomba Mungu akuepushe na kikombe hiki sasa usilalamike. Kinywe tu bila kufumba macho.Kumbuka na wa PSG nao wanamuomba Mungu
Braza Europa gani hiyo unayoiongelea?