Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe panga line up yoyote uipendayo...nimemtumia Guus huu mchango wako ili aufikirie. Hata PSG wakiwa 10 uwanjani leo, Tairi za Yokohama lazima zitolewe upepo leo.

Ubaya wa Chelsea leo watacheza, wakipanga matokeo ya 1-0 kwa hiyo watawekeza kwenye kujihami zaidi. PSG kwa upande wao watapigana wafunge lile bao 1 la ugenini ili kuhakikisha Ze bluuzz inakimbia uwanjani kama swala anayefukuzwa na Simba.

Yamebakia masaa machache ili kuujua umafiaso wa Abrahamovic wawili.
Kaka, shkamoo!
 
Leo nahisi ndo tunaondolewa rasmi UEFA.
-Walianza Man U makundi
-Sasa hivi ni zamu yetu hatua ya mtoano
Bora na sisi tungetoka makundi tu kama Man U.
Kijana ukija nyumba za watu unavimba kweli kweli na maneno kibao kua majirani hatuna jipya mwisho wetu umefika kumbe ukirudi gheto kwako unakua kama umemwagiwa maji ya baridi na unafyata mkia duh nimecheka sana kukukamata mjanja wewe.
 
No hope, no life. Umeshakufa tayari. Endelea kuiombea Yokohama itakapotumbuliwa jipu PSG watumie sindano ya ganzi ili kupoza maumivu.
mkuu Nonda welcome to *4d bridge uone attractive football.
 
No hope, no life. Umeshakufa tayari. Endelea kuiombea Yokohama itakapotumbuliwa jipu PSG watumie sindano ya ganzi ili kupoza maumivu.
Hahahaaaaa we jamaa majibu yako bhana
 
1457549355692.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom